Uonevu umezidi sana Tz, #Tanzania Tuitakayo ni ambayo raia wake wanajiamini na hii itapunguza huu uonevu uliopo. Em angali apa chini 👇.
https://youtu.be/7b_H3_nDk9E?si=ScaHIk1jhdIuVxqO
Hii ni jinai ndugu, na kama ni mtumishi wa serikali apo anaweza kuwa na kosa zaidi ya moja. Inaweza kuwa wizi kinyume na kifungu namba 270 cha Kanuni za Adhabu (penal code) na atawajibika kwa kifungo cha miaka kumi na nne jela pale akutwapo na hatia
Lakini pia inaweza kuwa kosa la matumizi...
Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru
Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa kama serena na team yake wameshindwa kung'amua tofauti iliyopo kati ya kesi za jinai na madai, sasa...
Sure, wanafunzi ni karibu 80% ya future yetu, masomo yenye moduli za sheri zitasaidia kuongeza uelewa wa sheria na kufanya 80% ya our future Tz kufahamu haki na wajibu wao.
Unayosema ni kweli, na ndio maana ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa sheria kabla ya kufanya maamuzi ya kisheria. Jukwaa kama hili linaweza kuwa zuri sana kwani linatoa fursa ya mtu kuweka concern yake na kusaidiwa na wataalamu wa maswala ya sheria bure kabisa.
Umee
Umeeleza vyema ndugu,swali langu kwako. Je,uliomba gharama za uendeshaji kesi kwanzia mwanzo?
Ndugu, kisheria hizi zote zinaitwa gharama za kesi. Mara nyingine ni vizuri ku consult na mtaalamu wa sheria kabla hujafanya maamuzi ya kisheria, hii itakusaidia sana.
Mkuu mimi nitakujibu kwa kadiri ninavyoelewa. Ni ivi, kesi inapokuwa katika stage ya kukazia hukumu mwenye jukumu wa gharama izo ni mdaiwa lakini hulipwi wewe badala yake ni dalali wa mahakama (court broker) kwasababu kwenye kukazia hukumu ni yeye ndo anatakiwa kushughulikia kila kitu na si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.