Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello wana JF. Nafurahi kujiunga na hii familia. Naomba mnikaribishe [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
1 Reactions
9 Replies
215 Views
Habari, nashukuru na mm kuwa miongoni mwa wadau wapya JamiiForums
3 Reactions
6 Replies
186 Views
Nimerudi tena
3 Reactions
5 Replies
241 Views
Habari wakuu, Nimejiunga na JamiiForums leo tarehe 27/11/2023. Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa.
9 Reactions
99 Replies
2K Views
Hodi humu! Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu. ..... Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa: * Mnaotaka kunifahamu...
40 Reactions
881 Replies
75K Views
mimi ni member mpya humu ndani wanajamii naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wandugu imenilazimu kuingia humu, maana nimekuwa kimya kwa muda mrefu lakini sasa nimeamua. Na imenipasa kufanya hivyo kutakana na hasira ya kukosa umeme. Kwa kuwa kazi za ofisi haziendi wala...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huku ninyi mnapokeaje wageni mbona kama sielewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Mimi jina langu, ni San na ni mgeni wa hapa JF. Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya...
7 Reactions
28 Replies
925 Views
Nimependa kujitambulisha kwenu wadau wa jamii forum mm ni mgen nimejiunga nanyi humu ili tuweze kujadiriana,kujifunza,kuhabalishana habari mm naitwa minji
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari, mimi ni mgeni humu, naombeni ushiriKiano wenu.
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni humu, naombeni mnikaribishe, naitwa Hafiz. Napenda kuchati na mademu wazuri, kama wapo njooni hapa tuchati na tubadilishane mawazo.
1 Reactions
9 Replies
466 Views
habari yenu ndugu zangu WASIFU A Man, miaka 27, im an occupational Therapist by professional pia ni mwanafunzi kwa sasa.Arsenal “the gunners fan”..ATHEIST kwa itikadi..STOIC kwa falsafa. HUMANITY...
6 Reactions
13 Replies
668 Views
Nimgen naomben mnipokee
2 Reactions
8 Replies
565 Views
U hali gani msomaji? Pole na majukumu ya hapa na pale ya shughuli zote za ujenzi wa taifa E Motherland ni ID mpya inayomilikiwa na mimi mwandishi (Jina kapuni) ikiwa chini ya uangalizi mzima wa...
3 Reactions
39 Replies
946 Views
Hi guys . I'm a new member here. Naomba mnipokee
2 Reactions
25 Replies
718 Views
Hello JF, naitwa Hillary Ni mgeni humu kwa heshima na taadhima naomba mnipokee.
2 Reactions
19 Replies
763 Views
Naombeni mnikaribishe
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom