Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Salaam wakuu natumaini humu nyote ni wazima wa afya. Kwa sasa jina langu nililokuwa nalitumia mwanzo la Mohamedex121 nimeamua kulichange na sasa mnaweza kunipata katika threads kama Mohamed...
2 Reactions
11 Replies
746 Views
Habari wana jf naomben mnipokee katika ukurasa huu pendwa wa jamii forum mnielekeze ndugu yenu yale nayostahili kuelekezwa ili tuweze kushirikiana vizur katika mambo yetu ya jamii
2 Reactions
7 Replies
374 Views
Nimekuja humu ndani kwani ni sehemu salama ya kujipatia maarifa na ushauri kuweza kuelewa uelekeo wa dunia kwa ujumla. Kutoka Arusha
4 Reactions
8 Replies
351 Views
Hodi hodi uwanjani, Wenyeji nifungulieni, Clamyidia mi mgeni, Wenyeji nipokeeni. Ninagonga mlangoni, Majirani tusiwaamsheni, Clamyidia nifungulieni, Wenyeji nipokeeni. Naskia JF sio gengeni...
1 Reactions
17 Replies
498 Views
Naitwa termux from (Tanganyika) Darusalaam Tupambane kwa ajili ya Tanzania bora na ya wazalendo. •Nina furaha kujiunga na JF Tanganyika kwanza (Tamaduni zetu na maadili yetu ) #Dini zilikuja...
2 Reactions
5 Replies
666 Views
Habari mi naitwa happy ni mgen Jf kuanza nitakuwa nanyi
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Habar zenyuuu nyote!
1 Reactions
15 Replies
444 Views
Baada ya kupotea kwa muda nimerud tena. Haya nianzie wapi?
1 Reactions
10 Replies
410 Views
Mnipokee mebers
1 Reactions
7 Replies
853 Views
Holla wakuu, Nimerudi tena Jamii Furum, since 2017 finally leo ndio na Login naomba ushirikiano wenu, wakuu, by professional ni FUNDI UMEME karibuni pia naomba mnipokee.
3 Reactions
8 Replies
349 Views
Hello JF members, happy to join you.
2 Reactions
10 Replies
318 Views
Hodi hodi humu.
1 Reactions
3 Replies
260 Views
Jamani hamjambo
1 Reactions
4 Replies
277 Views
Habar ya wakat huu wapendwa mimi ni mwanachama wa jf nilikuwepo muda tangu 2021 lakin sijajitambulisha kwenu...naombeniii mnipokeeee na ni fresh graduate natafuta internship ilii kupata experience...
4 Reactions
17 Replies
842 Views
Ii hapa ni mgeni
1 Reactions
21 Replies
679 Views
Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji. Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila...
3 Reactions
11 Replies
380 Views
Hodi hodi, Hujambo?
1 Reactions
6 Replies
342 Views
Wakuu za sahizi, Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35...
13 Reactions
95 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano. Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao...
2 Reactions
21 Replies
576 Views
Back
Top Bottom