Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa elfu hamsini wana jf?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
WHAT IS A CONTINUOUS INK SUPPLY SYSTEM?. A continuous ink system (CIS), also known as a continuous ink supply system (CISS), a continuous flow system (CFS), an automatic ink refill system (AIRS)...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu. Natumai nyote mmekua na week end nzuri kama yangu. Wakuu nahitaji gata zile za plastick.Nimeambiwa ziko gata kutoka South Afrika,Uturuki,Malaysia,China na Tanzania...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Kwa wafugaji wa kienyeji wa wanyama na ndege huko vijijini kwetu, kuna vitu au maarifa ya kienyeji ambayo huwa wanatumia, naomba tuyajadili na kujulishana pia tuonyeshane kama kweli yanafanya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hodi wenyeji! Habari zenu waungwana. Nina wazo la kuwa mjasiria mali ili niachane kabisa na mambo ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi. Tatizo ninalokumbana nalo ni ukosefu wa skills juu ya...
0 Reactions
41 Replies
12K Views
Heshima kwenu wanajamvi Tanzania tumekuwa na sera nyingi za kuendeleza kilimo cha mtanzania (mkulima mdogo mdogo) kwa miaka hamsini sasa. Lakini pamoja na sera nyingi na zenye mvuto masikioni...
5 Reactions
6 Replies
8K Views
Naona jukwaa hili linazidi kupata umaarufu. Kwa ushauri tu kuna wajasirimali wengi tu wanaokusudia kuanzisha biashara, tatizo baadhi ya bidhaa upatikanaji wake huwa mgumu na pengine gharama na...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanza napenda kushukuru kwa msaada mkubwa ambao nimeupata na nazidi kuupata kutoka kwa members wa jukwaa hili hususani Mr elinino ambae nilifuatilia post yake "nimeamua kulima kwa mara ya pili"...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu salaam! Naomba kwa wenye ufahamu wanisaidie yafuatayo: 1. Ni maeneo gani yanalipa ukipeleka trekta la kukodi? 2. Ni kiasi gani kwa heka moja? 3. Na ni HP ngapi zinaweza kufanya kazi (2wd...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
I know it is heady to mention such a a figure, na nikiangalia kiwango ambacho mimi mwenyewe ninaweza kuwa nacho bado in 5Million TSH kwa hivyo will come clean on my plans. Elimu has been mentioned...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa. Shamba liko nje kidogo ya DSM.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dear all Mimi ni irrigation engineer, natafuta sana software fulani inayoitwa IRRICAD kwa ajili ya irrigation design (pressurized irrigation). Najua humu kuna kila aina ya watu. Kwa hiyo mwenye...
0 Reactions
3 Replies
425 Views
Sera hii imewanufaishaje watanzania wandugu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai naomba msaada wenu kuku wangu wanadonoana sana sijui ni kwa nini ikiwa mchanganyiko wa chakula ni mzuri nisaidieni wanakwisha kwa kufa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu nashukuru sana mada mbalimbali zinazojadilikwa kuhusu kilimo. na mimi ndo naanza kujikita katika kilimo. Nina shamba langu katika wilaya ya bagamoyo (maeneo ya barabara ya...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Back
Top Bottom