Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain.
Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
Habari zenu wana tech,
Narudi tena na tena kwa mara nyingine, lengo kuu likiwa ni kufahamishana kuelimishana na kuhamasishana kwenye nyanja hii muhimu ya Tech, Gadgets & Science Forum.
Kama...
Nataka nitengeneze App ya TV ambayo ndani yake kutakuwa na channels za kutizama mpira na vipindi mbalimbali vya TV (movies, news)
Je, zina faida? Au nitawezaje kunufaika nayo?
Wakuu habari, naombeni msaada wenu,
Iko hivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida.
Yaani nikipiga au manzi akicheki simu zinakuwa...
Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya kwanza nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama...
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa.
Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA...
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani...
Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET
Sasa nataka kuconnect na laptop yangu
Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi
Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
Habari Jamii!
Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.
Niliwahi kuandika thread kama hii kuhusu simu za...
Wakuu habari za mchana,
Naomba kueleweshwa kwa mwenye kujua tofauti kati ya Mac book Pro na Mac book Air (apple) maana kuna jamaa kaniambia anayo na mimi nahitaji mac book so sijui ipi nzuri...
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani.
Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko...
Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta...
Hi Wana JF
Tanzania tuko na mitandao mitatu ya simu inayo toa huduma ya internet.Kati ya hiyo ni upi ambao huduma zao ni faster sana.
Na rate zao ni sh ngapi kwa KB or MB kadhaa?..nafahamu...
nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi...
Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.
Pia naona...
Habari za muda wazee Hivi Hapa dar es salaam maeneo ya Gongolamboto Mpaka Huku Banana Kuna Sehemu yeyote Kuna internet Cafe Nakama ipo Kushusha file nzito almost Gb 20-30 wanachaji kiasi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.