Maeneo Gani Kuna internet Cafe Dar es salaam

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
929
1,144
Habari za muda wazee Hivi Hapa dar es salaam maeneo ya Gongolamboto Mpaka Huku Banana Kuna Sehemu yeyote Kuna internet Cafe Nakama ipo Kushusha file nzito almost Gb 20-30 wanachaji kiasi gani

Naomba kujua Wadau

Natangaluza shukrani

Wasaalam
 
20GB nalo ni file zito kweli mboana hata kwa bando la 20 au 30 unashusha tu hilo.
Au tafuta Guest house yenye internet ukalalepo kabisa ujishushie na mafile mengine.
 
Hivi Kuna haya mambo siku hizi kwanini usinunue computer yako
 
20GB nalo ni file zito kweli mboana hata kwa bando la 20 au 30 unashusha tu hilo.
Au tafuta Guest house yenye internet ukalalepo kabisa ujishushie na mafile mengine.
Bando Gan Kwa 20 wanatoa Hizo GB 20 ndugu
 
Natumia Halotel hizi line za CUG Special for Internet tu hazipigi simu wala sms.. napata GB18 kwa 15,000. na kifurushi cha chini ni 5000 unapata GB 4 so Ukijumlisha hizo mbili unakua jumla na GB22 kwa 20,000/- tu.
 
Halotel special offer hata Mimi ninayo ila bado haifai Kuna file Kubwa almost gb 45 -55 Ndo maana naitafuta unlimited nishushe Hizo file zangu
 
Back
Top Bottom