Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (Higher Education Students' Loans Board) Tanzania ilianzishwa mwaka 2005 na Rais wa tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt.Benjamini William Mkapa chini...
Mfalme Leopold Philippe, nina uhakika yupo kuzimu, meza moja na Henry Morton Stanley. Wanapokaa, unaliona pembe la kushoto la shetani kiangavu zaidi. Najua watakua wanacheka. Ndio, kuna moto...
Nakumbuka vizuri kuwa ilikuwa ni mwaka 2001 nilipoanza kutumia dawa za kulevya aina ya bangi.Tofauti na watumiaji wengi wa dawa hizi kuanza kuzitumia wakiwa kwenye umri wa balehe ambao kwa wengi...
Kwanini Watanzania tunapotea katika elimu shuleni? Na kwanini tunasoma na mwisho wa siku tunakaa bila ajira? Ni kwa sababu zifuatazo
KISIASA: Kisiasa elimu inachukuliwa kama chama tu ambacho...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya afya ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Hapa chini...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya michezo ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo na mafanikio ya sekta hii. Hapa chini, nitaelezea...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye mazingira ili kuchochea utawala bora au uwajibikaji
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Katika...
Habari za muda huu wanajamvi.
Mifumo Bora wa Kodi ni nini na umuhimu wake?
Mfumo bora wa kodi unaweza kutofautiana kulingana na malengo na mahitaji ya nchi husika. Hata hivyo, kuna mifumo kadhaa...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao.
Sensa hutoa taarifa muhimu kwa...
Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo...
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya Sayansi na Teknolojia ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo na mafanikio ya sekta hii. Hapa chini...
Habari,
Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili...
Michezo ni ajira!
Lakini ni ukweli usio na shaka kua hatuna dira maalumu inayoweza kukuza sekta hii. Badala yake kumekua na siasa na mipango ya zimamoto badala ya maandalizi ya muda mrefu...
(imeandaliwa na Mr JOHN MBAGA)
UTANGULIZI:
Asidi ya hyaluronic ni molekuli inayopatikana kiasili katika miili yetu, ikiwa ni sehemu muhimu ya tishu za mwili, pamoja na ngozi, macho, na viungo...
TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU
Utangulizi
Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria...
Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa ni janga ambalo limekosa ufumbuzi na linaloendelea kugharimu maisha ya watanzania wengi na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.Licha ya kupoteza nguvu kazi ya...
Utangulizi.
Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha...
Habari wapendwa wana Jf wenzangu.
Awali ya yote nipende kusema, Watanzania sio waaminifu (na mimi nikiwemo). Hili tatizo sijui limesababishwa na nini lakini imani yangu inanituma kuamini ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.