Nataka landcruser v8 ya mwaka 2013 /14,diesel an auto budget dollar 85k,km unayo au unaconnection na mtu ambaye anayo nicheck hapa 0678224427,isiwe ya kusubiria
Nauza gari Nissan Primera rangi yake ni Maroun. Engine capacity ni 1990cc.
Fuel: petrol
Imported in 2012 from Japan ..
No accident history
Location.... Dar es salaam
Price.. 9 millions...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.tuliinunua kwa matumizi ya familia baadae tukaona tuisajili kama daladala.lengo la kuuza ni kwamba tunahitaji kuagiza nissan civilian hvyo tumefikiria kuuza...
bei ni mill 17 zimetumika miez 2 zipo katika hali nzur bei negotiable
zipo katika hali nzur
zipo dar ukonga banana
kwa picha whats app 0712505049
kwa maswali na maelezo 0714288996
Make Nissan
Model X-Trail
Price Tsh mil 11
Year Manufacture 2002
Fuel Petrol
Transmission Automatic
Body type Station wagon
Mileage 160000
Imeingia Tz ikiwa imetembea Km 120000 hivyo kwa Hapa Tz...
Nissan supplies only the best quality vehicles and this car is yet another example from their impressive fleet. This Nissan Navara 2008 comes with a Manual transmission system as well as other...
Habari za leo wana jamii, ninauza Nissan Note yangu ya blue (2005) kwa sh 7 Milioni. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea kwa umbali wa km 71,000. Kwa mawasiliano nicheki kwa 0686477879
Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879...
year 2001
mileage:139177 km
cc1340
Price:5.5 million
Serious Buyers SMS to 0753692148/0719215909,pia kuna alteza gitta ipo kwa bei nafuu imetoka japan ina mwezi tu hapa TZ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.