Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kama kichwa kinanyojielezea nyumba ya vyumba vitatu vya kulala kimoja master sitting room, dining na jiko na Choo cha public nyumba ni mpya kabisa ina eneo kubwa la kulaza ata gari 4 na tenki la...
0 Reactions
1 Replies
456 Views
Nyumba inapangishwa Tabata shule. Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba. Kodi laki mbili kwa mwezi Call me 0747744895 Mnakaribishwa.
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni Apartments zenye nyumba Nne za Ghorofa ( Up &Down ) Ndani ya Fence yenye eneo kubwa na lenye utulivu wa kutosha, Huduma zote muhimu (Maji ya Dawasco, Umeme na barabara inayopitika vizuri 300m...
1 Reactions
120 Replies
16K Views
Chumba na sebure vinapangishwa kinyerezi kabla ya kufika kabisa la Roma stand ya zamani unaingia ndani kidogo karibu na msikiti wa kimbekete na karibu na transfoma ni karibu na kituo Cha magari...
2 Reactions
4 Replies
578 Views
Habari wadau. Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu Vyumba hivi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au...
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Mgahawa/ Bar ipo maeneo ya sinza mugabe. Kodi ni laki tatu na nusu maongezi yapo. Unakodishiwa viti pia na eneo ni kubwa la kutosha.
0 Reactions
5 Replies
821 Views
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT. Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu. Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ya mwezi utachagua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
#Kigamboni city. Apartment for rent. Tsh 250,000/= tu Chumba kimoja Cha kulala ambacho ni Master. , ukumbi na jiko. Zipo nyumba 9 zinatumia geti moja kuu, pia Kuna ghorofa ambapo ground floor...
0 Reactions
13 Replies
781 Views
Call 0652 180 400 Kigamboni city apartments for rent. One Master bedroom, kitchen and hall. Price is 200,000 / = Tsh Per month. They depend on everything water and electricity.
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, Jiko, store, dining room, sitting room,,public toilet.. Mazingira mazuri. Nyumba ipo Kigamboni Kisiwani. 0652180400
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa. Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
616 Views
.... sold out
0 Reactions
7 Replies
677 Views
Chumba kimoja cha kulala ambacho ni master,jiko, ukumbi. Na ndan Kuna Min supermarket inajengwa . zipo nyumba Tisa sehem moja. Mazingira mazur, zinajitegemea maji na umeme. Kodi ni 200,000/= Kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Chumba Choo ndani (Masta) Kodi kwa Mwezi ni Tshs 100,000 Mahali Mbezibeach Mawasiliano 0742141467
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mahali - Bunju A Kodi - Tshs 200,000 Maelezo Zaidi - 0742141467 Chumba masta, Sebule, Jiko. Umeme luku yake, Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule, Choo cha public ndani Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 250,000 Mahali goba, kwa awadhi Umeme Submita yake, maji Dawasa, fensi geti, parking ipo. Maelezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
chumba na seble ni vzuri sana gypsum board na tiles rangi mpya choo kizuri madirisha mawil mawili seblen na chumbani kina kodi ya miezi minne,alioko ndani ameamishwa kikazi anahama unatembe dk 4...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 230,000 Mahali Goba ya Karibu Na Mbezibeach Mawasiliano 074214146
1 Reactions
5 Replies
598 Views
Back
Top Bottom