Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu...
1 Reactions
3 Replies
324 Views
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2...
0 Reactions
44 Replies
2K Views
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
1 Reactions
20 Replies
1K Views
VIWANJA VIPO UWANJA MPYA WA DODOMA - MSALATO UPANDE WA KITELELA, NA INAPOJENGWA BARABARA YA MZUNGUKO RING ROAD BEI KUANZIA 1,000,000 MPAKA MIL 2 UKUBWA NI KUANZIA SQM 500 HADI 1,600 MAWASILIANO...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga...
0 Reactions
4 Replies
411 Views
Location: Songea Mjini (Mateka) Ukubwa: nusu hekari HATI miliki IPO Umeme, maji Bei ni 6 million Contact: 0758234233 Mbeele .. ,. NYUMa Umbali ni kama dakika 5 tu Toka Songea Mjini(Usafiri
1 Reactions
5 Replies
217 Views
Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga &...
2 Reactions
5 Replies
374 Views
Nauza kiwanja Kibamba Gogoni Dar, ukubwa wa mita 20 kwa 20, umbali wa km 1 toka stand /Morogoro road, miundombinu ya maji na umeme pamoja na barabara vipo. Bei ni 8 millions(mazungumzo yapo)...
1 Reactions
3 Replies
407 Views
Kibaha msangani juhudi. Kipo karibia na stend ya bajaji Km 5 KUtoka morogoro road Ukubwa mita 20 kwa 20 Milioni tatu na nusu. Barabara nzuri ya lami. Umeme na maji vimefika.
2 Reactions
20 Replies
796 Views
Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles. Km 4 kutoka Morogoro road. Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu Ukubwa eka 8 Pote milioni 12 Panafaa kwa kilimo na ufugaji
2 Reactions
11 Replies
748 Views
[emoji95]VIWANJA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO[emoji95] UMBALI [emoji3502]Km 22.6 kutoka Ferry. [emoji3502]Km 24 kutoka kigambon Darajani [emoji3502]Kutoka Kibada Center ni kilomita 15 hadi site SIFA...
0 Reactions
5 Replies
372 Views
Usikubali kuingia 2024 bila kumiliki kiwanja. Pata kiwanja kibaha kwa Mfipa kwa mil. 2.5 Kutoka main road ni km.1.5 Huduma muhimu zote zipo Wasiliana nami 0685223804
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa...
2 Reactions
9 Replies
636 Views
Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo) Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado...
3 Reactions
28 Replies
752 Views
Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma...
1 Reactions
7 Replies
373 Views
Kiwanja kipo maramba mawili eneo la king’azi, ukubwa 23 kwa 20, Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari, 2. Hakipo mbali na Barabara ya tanroad inayotokea maramba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza kiwanja cha viwanda vidogo DODOMA mjini eneo la Nala CHINANGALI, block EE, tazama kwenye picha kiwanja namba 384 SQM 3954, ni hatua chache toka barabara kuu ya kwenda singida, kiwanja kina...
2 Reactions
5 Replies
424 Views
Kiwanja kikubwa Cha makazi kiko Maeneo ya shirimatunda- moshi mjini Mwana apolo amekwama. Biashara zake za madini haziendi Kiwanja kimezungushiwa fensi ya senyenge kiko karibu na shule ya...
2 Reactions
1 Replies
304 Views
Karibu vikindu pwani wilaya ya mkuranga mtaa wa malela kisayan ujipatie kiwanja Kwa Bei nafuu ukubwa wa eneo ni futi 50 Kwa 40 Bei laki sita na huduma zote za kijamii zinapatikana Kwa muhitaji...
3 Reactions
11 Replies
652 Views
NAUZA KIWANJA UKUBWA WA MITA 20X20 (400SQM) KIBAHA KONGOWE, UMBALI WA KM 1 TOKA STAND/MOROGORO ROAD, BARABARA MAJI NA UMEME VIMEFIKA BEI NI 5.5 MILLIONS SIMU [emoji338]0784325299
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Back
Top Bottom