Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kama nchi tunaendelea kulumbana kuhusu Covid-19. Hatujapata muafaka bado na tuna makundi mawili makubwa. Kuna mambo ambayo yanaendelea lakini ni kwa kipindi kifupi na kwa gharama kubwa ya maumivu...
2 Reactions
9 Replies
905 Views
Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo. Huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno. Mfano, Mzuri ni huu: Waziri Jafo alipotangaza Siku saba...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la...
13 Reactions
106 Replies
7K Views
Mseven adressing the nation ====== Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi...
15 Reactions
84 Replies
14K Views
Taarifa ya WHO inasema kuwa maambukizi ya corona kwa wiki hii pekee yameshuka kwa 16%, na vifo kwa wiki hii pekee vimeshuka kwa 10%. Tuiangazie Israel kama mfano wa kuigwa. Israel ni Taifa dogo...
42 Reactions
127 Replies
8K Views
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona. Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna COVID-19 isipokuwa "changamoto ya...
28 Reactions
117 Replies
10K Views
TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus. ========= Japan warns...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Chanzo: Tahadhari ya Kiafya - Ongezeko la visa vya COVID-19 | Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania
28 Reactions
222 Replies
15K Views
Mkuu wa wilaya ya Hai,Mkoani Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya amewatoa hofu wananchi wa wilaya hiyo kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuwataka wasiogope kusalimiana kwa mikono kama ilivyo...
0 Reactions
13 Replies
901 Views
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps...
11 Reactions
251 Replies
19K Views
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa...
31 Reactions
354 Replies
26K Views
Tanzania president raises doubts over COVID vaccines President John Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are ‘dangerous’. --- Tanzanian President John Magufuli has...
28 Reactions
216 Replies
18K Views
(Huu ni muhtasari wa tafsiri (isiyo rasmi sana) ya Oped iliyochapishwa na gazeti la The Citizen) Katika mtanange wa kupata chanjo dhidi ya Coronavirus unaoendelea duniani, Tanzania inaweza...
5 Reactions
77 Replies
9K Views
Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols Abeid Amani Karume International Airport in Zanzibar has been Certified with the lowest 2-Star COVID-19 Airport...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Wajumbe GT's hamjambo? Mwenye ufahamu anieleweshe; chanjo ya ugonjwa wa Corona 19 ni lazima au la? Nimeuliza hivyo kwasababu zifuatazo:- 1. Kila mtu anaongea lakwake watu wanashindana kwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020 Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom