Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

A
Anonymous
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
A
Anonymous
Habari! Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
A
Anonymous
SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi...
1 Reactions
7 Replies
699 Views
A
Anonymous
Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB)...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
A
Anonymous
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
A
Anonymous
Bima ya Afya kwa wanafunzi wa Vyuo ni tatizo kubwa. Mtu unalipia bima Lakini kadi hupati zaidi ya miezi saba. Wanafunzi wamelipa tangu mwezi wa tatu kadi za bima hazijatolewa na ukiuliza...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
A
Anonymous
Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
A
Anonymous
Kwako Serikali yangu pendwa. Niliamua kukaa kimya ila baada ya kuona mambo yameanza kuniendea vibaya kabla sijaanza chuo imenibidi niikumbushe serikali yangu pendwa. Kitendo cha Serikali Kuondoa...
2 Reactions
5 Replies
388 Views
Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge...
3 Reactions
11 Replies
975 Views
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma. Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha: Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka...
24 Reactions
247 Replies
10K Views
Back
Top Bottom