Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Kuishi sehemu kama hii lazima utakuwa vizuri kichwani na afya ya mwili pia. Hapo kuishi miaka 120 kawaida tu. Switzerland [emoji1237]
36 Reactions
130 Replies
4K Views
Endapo kama hawa wanyama wote watafungiwa kwenye Cage moja, je nani atatoka mzima?
5 Reactions
10 Replies
743 Views
Kuna scientific calculator na Calculator ya simu. Zote zimepewa hesabu inayofanana lakini majibu yako tofauti!
4 Reactions
282 Replies
12K Views
Wajue wakuu wa Majeshi waliohudumu nafasi zao tangu mwaka 1964-2024!
0 Reactions
6 Replies
468 Views
Kwa kweli nipende kulipongeza shilikisho la mpira wa miguu Tanzania kwa kushirikiana na Azam Media group Viwanja kwa upande wa Tanzania bara [NBC PL] Vinarizisha kwa kiwango kikubwa ukilinganisha...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Chumba chenye open Maliwato...!
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
3 Reactions
8 Replies
563 Views
General Museveni akiwa na familia yake baada ya kutoka kanisani. Hapo sambamba na Museveni yupo mama Janeth Museveni ambaye ni first lady na waziri wa michezo na utamaduni Uganda. Pia yupo Luteni...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Picha zisizo na tafsiri ya moja kwa moja Picha danganyifu kwenye uono Picha zenye tafsiri kinyume Picha msigano Picha tengefu Picha za kupima kiwango na afya ya akili..!
23 Reactions
432 Replies
25K Views
Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake...
5 Reactions
34 Replies
943 Views
Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom