Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Mbunge wa Viti Maalum Al-Shymaa Kwegiar akiwa na washiriki wa Miss Totoz Fatuma Issa (7) ameibuka kidedea katika shindano la kumpata Malkia wa Watoto, Miss Totoz Temeke 2009 katika Ukumbi wa...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Sunday, October 19, 2008 Managing Director Job: East Africa Tea Trade Association (EATTA) <SCRIPT type=text/javascript><!--google_ad_client = "pub-2694107175617766";google_ad_host =...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://*************************/2009/08/east-african-tea-trade-association.html
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani napenda kujua hili ni jeshi gani Tanzania........ Je hawa walikuwa kazini au walikuwa wame-pose kwa ajili ya picha. Toa maoni yako tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matatizo ya shirika la reli wasafiri kila mara wanalala Station hadi lini Check hii Mmoja wa abiria waliokwama katika Stesheni ya Dar es Salaam, Bw. Shadrack Mwami akijibizana na Kamanda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali tukumbushane watu maarufu duniani. Yeyote unayemuona kuwa ni maarufu au alikuwa maarufu kwa mtazamo wako , tupatie picha yake. Kama ukipenda, taja umaarufu wake.
0 Reactions
34 Replies
9K Views
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Je hawa watu walikuwa wana-smile kwa ajili ya kamera au wameridhika na maisha waliyonayo.............toa maoni. Maoni yangu: Naamini watanzania wanaridhika na kile walichonacho ingawa gap ya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Katika kusherekea miaka 40 ya Apollo 11, sio mbaya tukaweka picha ambayo nadhani iliweka historia na kutupa sisi wanadamu perspective kidogo ya Ulimwengu na jinsi tulivyo insignificant. Hii picha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki, John Magufuli (kulia) akizungumza na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, Bungeni Mjini Dodoma Juni 8, 2009
0 Reactions
18 Replies
5K Views
M
MegaPyne
Bwana waziri alifika Ubungo kuzindua mtambo wa kusindika gesi kwenye mitungi kwajili ya matumizi ya nyumbani na kwenye magari. Kwa nia njema tu!! Ghafla wananchi wakaibuka na kuanza kulalamikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
2010 Buick LaCrosse
0 Reactions
2 Replies
2K Views
M
MegaPyne
JK na KIBAKI ktk picha ya pamoja na wanafunzi wa St Joseph Millennium school Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozini Wakiwa na baadhi ya Mawaziri toka Kenya Harambee Plaza.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden"><input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();"...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
"Wanangu msijali tutafika tu manake mungu ni mkubwa" ni kama ndivyo anavyofikiria mawazoni mwake jamaa huyu ambaye amewapakia watoto saba katika pikipiki yake yeye akiwa mtu wa nane, bila hata...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Houston Dome &#8211; The fourth-largest city in the United States and the largest city in Texas, Houston is vulnerable to killer hurricanes, extreme heat and other natural disasters. And the...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Shimo kubwa ambalo lililopo katika barabara ya Morogoro karibu na NSSF jijini Dar es Salaam. (Picha na Hamisi Athumani) My Take: Kwa aliye kwenye Benz ameendelea sana; kwa anayetembea kwa miguu...
0 Reactions
106 Replies
18K Views
Magari ya zima moto ya vituo mbalimbali hapa Tanzania. Natanguliza shukrani. SteveD.
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Nani anapicha za watu walioathirika na maji machafu ya mgodin, Jana CH 10 walionyesha, TUNAZIOMBA TUZIPELEKE HAKI ZA BINDAMU HAWA WAZUNGU WAUAJI KABISA. Haiwezekani, Mwanasheria Tindu Lisu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Hili ndiyo Bweni la wanafunzi wavulana wa shule ya Sekondari Zingibar ambalo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza alitembelea ghafla na kutoa machozi baada ya kukuta...
0 Reactions
56 Replies
13K Views
Back
Top Bottom