"Wanangu msijali tutafika tu manake mungu ni mkubwa"
ni kama ndivyo anavyofikiria mawazoni mwake jamaa huyu ambaye amewapakia
watoto saba katika pikipiki yake yeye akiwa mtu wa nane,
bila hata...
Houston Dome – The fourth-largest city in the United States and the largest city in Texas, Houston is vulnerable to killer hurricanes, extreme heat and other natural disasters. And the...
Shimo kubwa ambalo lililopo katika barabara ya Morogoro karibu na NSSF jijini Dar es Salaam. (Picha na Hamisi Athumani)
My Take:
Kwa aliye kwenye Benz ameendelea sana; kwa anayetembea kwa miguu...
Nani anapicha za watu walioathirika na maji machafu ya mgodin, Jana CH 10 walionyesha, TUNAZIOMBA TUZIPELEKE HAKI ZA BINDAMU HAWA WAZUNGU WAUAJI KABISA.
Haiwezekani, Mwanasheria Tindu Lisu...
Hili ndiyo Bweni la wanafunzi wavulana wa shule ya Sekondari Zingibar ambalo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza alitembelea ghafla na kutoa machozi baada ya kukuta...
ONYO: Some of the images are really brutal and disturbing but the message is clear, Mugabe has unleashed terror on his people!
http://www.sokwanele.com/gallery/albums
Nimekomba hii picha toka kwa Michuzi, katika hiyo picha naona kuna sura za baadhi ya watu ambao kwa mtazamo wa jamii ya Kitanzania naamini kuna walakini hapo...... pls changia kwa kila jina kama...
First prize in the spot news singles category went to American photographer John Moore of Getty Images who captured the assassination of Benazir Bhutto, in Rawalpindi, Pakistan.
First...
Kwa kweli hii picha ya huyu jamaa mimi huwa inanichefuaga sana, sasa ina maana hawa waandishi hawana picha ingine au ndio tuseme huyu jamaa ndio sura yake hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.