Tanzania: Viongozi wa Kitaifa katika matukio

Invisible

JF Admin
Feb 26, 2006
16,294
8,325
i555_magufuliag.jpg

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, na Mbunge wa Biharamulo Mashariki, John Magufuli (kulia) akizungumza na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, Bungeni Mjini Dodoma Juni 8, 2009
 
i515_mwakyusa.jpg

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa ambaye pia ni Mbunge wa Rungwe Magharibi akizungumza na mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 9, 2009
 
i516_pindacct.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu na viongoizi wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) wakati alipofungua mkutano wao mjini Dodoma Juni 4, 2009.
 
i517_pindasimbakalia.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Askofu wa Jimbo la Mbinga, Mhashamu , Emmanuel Mapunda wenye makao makuu ya jimbo hilo mjini Mbinga baada ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya kilimo wilayani humo May 5, 2009. Kulia ni Mkewe Tunu
 
i518_pindamsuya.jpg

Waziri kuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari, 20,2009
 
i519_lowassa1.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) na Muhsin Abdallah wakizungumza kabla ya kikao cha CC Novemba 8, 2008
 
i520_wakuuccm.jpg

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta na Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Mkuchika, kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma, November 8, 2008
 
i521_pindazitto.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wabunge Peter Serukamba wa Kigoma Mjini (kushoto) na Kabwe Zitto wa Kigoma Kusini, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma October 29,2008
 
i517_pindasimbakalia.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Askofu wa Jimbo la Mbinga, Mhashamu , Emmanuel Mapunda wenye makao makuu ya jimbo hilo mjini Mbinga baada ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya kilimo wilayani humo May 5, 2009. Kulia ni Mkewe Tunu
i516_pindacct.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu na viongoizi wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) wakati alipofungua mkutano wao mjini Dodoma Juni 4, 2009.
Aaah GT......
 
Hivi kwa nini viongozi wengi wa Tanzania muda wote wameshikilia simu zao?
 
i515_mwakyusa.jpg

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa ambaye pia ni Mbunge wa Rungwe Magharibi akizungumza na mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 9, 2009

Mkuu hii cell phone ya Waziri Mwakyusa imekwenda shule kweli. Hakuna vi-portable.
 
i554_mkuchika.jpg

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Mkuchika akiwasilisha Makadirio na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2009/10, Bungeni Mjini Dodoma Julai 15, 21009
 
i556_mkuchikabendera.jpg

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Mkuchika (kushoto) akiteta na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Joel Bendera, Bngeni Mjini Dodoma, Julai 15, 2009
 
i557_pindasimbeye.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mtayarishaji wa Kipindi cha mahojiano cha TBC1 cha "This Week in Perspective", Adam Simbeye kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 16, 2009.
 
i558_Pindakingunge.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Kingunge Ngombale-Mwiru, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 17,2009
 
i559_Pindakingungesister.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Kingunge Ngombale –Mwiru (kulia) na Sister Euphrasia Mungira wa Shule ya Msingi ya Masister ya Ignatius ya Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 17, 2009.
 
i575_kamala.jpg

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Nkenge, Dk. Diodorus Kamala akiwasilisha Makadirio na Matumizi ya Wizara hiyo, Bungeni Mjini Dodoma Julai 17, 2009
 
Back
Top Bottom