I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 531
- 893
Hao wazanzibar kama wanataka huo utaratibu wafunge virago vyao waende saudi arabia huko, watukabidhi Tanzania bara kisiwa chetu.
Kuuawa padri ndani ya kanisa akiendesha misa kulikofanyika Mwanakwerekwe haudhani kuwa ni tukio baya sana kwa nchi na wananchi wake?Kwanini msielezee kwa kina zaidi kuhusu hii sheria yao ya kukamata wanaokula hadharani?
Je ni waislamu pekee kwa kutizama ID zao n.k.
Au ni katazo la kula hadharani kwa watu wote n.k
Adhabu yake ipoje?
Hili jambo msilichochee zaidi.
Mnachofanya ni kama kuonyesha wakristo wanakandamizwa na waislamu hapo Zanzibar, na matokeo yake si mazuri.
Ashakum si matusi, WAISLAM WETU= WILD ANIMALS, they are not rational.Kwa taarifa yako wapo waliokamatwa wakipika chakula mchana! Tetea na hili kwa nguvu zako zote.
Mpumbavu sana wewe.. kila sehemu una paste huu ujinga..zingatia table manners hakuna atakae sumbuka na wewe 🐒
kubugia bugia na kufakamia mavyakula hovyo hovyo hadharani bila bila aibiu wala utaratibu ni mazoea na ni tabia mbaya.
Ni malezi ya hovyo sana 🐒
Pika au nunua Chakula chako kaa ndani kwa utulivu kula maliza, jiunge na wenzako kijiweni kwa stori na porojo, safiii, nani atababaika na wew?
sasa wewe unajua kabisa sis tumefunga, wengine hatujafunga na tuna njaa kweli kweli na mfukoni hatuna jambo lolote, halafu wewe unanua biriani au chips yenye mapochopocho kama yote, halafu unakuja kuungana nasi kijiweni huku ukifakamia hilo pilau......
huo sio ungwana na wala sio ustaarabu.
unatibua saumu za wengine lakini pia unatibua na kuvuruga zaidi njaa wengine kwa tamaa zako. Tutakushughulikia kimoyomoyo wale wenye roho ngumu, lakini wenye roho nyepesi hawatakuacha salama 🐒
sitetei chochote kwa yeyote 🐒Kwa taarifa yako wapo waliokamatwa wakipika chakula mchana! Tetea na hili kwa nguvu zako zote.
95% ya wazanzibar ni Muslim na zanzibat ilikuwa ni nchi ya Kiislamu so unalaumu nini??kumbe Znz wanaishi waislaam tu Mkuu??
Ndo wanaowatawala huko bara, mngekuwa na AKILI mngetawaliwa na wazanzibar?Wazanzibari walitakiwa kutawaliwa na Sultani maisha yao yote. Maana wengi wao hawana kabisa akili.
Mkuu Unajua maana ya Tamaduni???kumbe kufunga ni utamaduni sio swala la dini
Ok sawa Ila Usisahau uislamu Zanzibar ulikuwepo Miaka ya 844..Ukristu uliingia Zanzibar rasmi mwaka 1879 ulipokamilika ujenzi wa kanisa la Anglikana, na wakiristu wamekua wakiishi vizuri mpaka miaka hii ya 2000 ambapo tulishuhudia padri akipigwa risasi ndani ya kanisa ambapo tukio hilo lilionekana kuwa la kawaida japo angepigwa risasi shehe dunia nzima ingejua Tanzania ilipo kwenye ramani.
kwahiyo kuyaporomosha na mihemko ndio ustaarabu 🐒Mpumbavu sana wewe.. kila sehemu una paste huu ujinga..
Huyu uongo mwingine wa kijinga sana eti toka 1400......Sawa ila Muungani haujaruhusu Kuharibu Tamaduni za Kizanzibar..
Mwaka 1964 zanzibar ilikuwa tayri ni nchi huru Tangu mwaka 1400s
kabla sijakupa Ukweli Naomba uniambie Ilikuwa lini maana ninao ushahidi wa ninacho kisemaHuyu uongo mwingine wa kijinga sana eti toka 1400......
Kwanini msielezee kwa kina zaidi kuhusu hii sheria yao ya kukamata wanaokula hadharani?
Je ni waislamu pekee kwa kutizama ID zao n.k.
Au ni katazo la kula hadharani kwa watu wote n.k
Adhabu yake ipoje?
Hili jambo msilichochee zaidi.
Mnachofanya ni kama kuonyesha wakristo wanakandamizwa na waislamu hapo Zanzibar, na matokeo yake si mazuri.
Lini Zanzibar imekuwa nchi? Pia toka lini Zanzibar ni nchi ya kiislam? We bwana acha kupotosha.95% ya wazanzibar ni Muslim na zanzibat ilikuwa ni nchi ya Kiislamu so unalaumu nini??
Huo utamaduni haukubaliki, ni wa kupingwa kwa nguvu zote, watanganyika waingie huko kwa wingi na wakale mchana tuone kama watawakamata wote na kuwasweka ndani. Mbona bara watu wanakula mchana na hawabughudhiwi? Tena wanakula malangoni mwa misikiti yenye migahawa kwenye fremu zao
Tafuta Hii Journal mkuuHuyu uongo mwingine wa kijinga sana eti toka 1400......