TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

kabla sijakupa Ukweli Naomba uniambie Ilikuwa lini maana ninao ushahidi wa ninacho kisema
Huwa sibishana na waislam mi kwangu ni watu inferior sinaga muda kupoteza na watu wa jamiii hiyo huwa naamini hata akisoma elimu gani akili inakuwa mgando sababu ya mafundisho hatari kutoka kwenye quran

Ndo maana unaona wenzio wanachapa watu wengine wanajilipua inshort you guys are inferior .....
 
Lini Zanzibar imekuwa nchi? Pia toka lini Zanzibar ni nchi ya kiislam? We bwana acha kupotosha.
Kwa Mujibu wa Katiba ya Zanzibar Ya mwaka 1984 toleo na marekebisho Ya Mwaka 2010 ibara ya kwanza na Ya pili Zanzibar ni Nchi yenye watu na "Raia"
Screenshot_20240329_101801_Adobe Acrobat.jpg

Na kwa mujibu wa Historia zanzibar ilikuwa ni Miongoni mwa Nchi zilizokuwa Chini ya Utawala wa Kisultani na Kiislamu mpaka mwaka 1964 ilipoungana na Tanganyika..

Screenshot_20240329_095338_Chrome.jpg

Kama unaswali Lingine mkuu nasubiri..
na Usiache Kusoma hapo.juu Palipoandikwa was an East Africa Muslim State..
 
Huwa sibishana na waislam mi kwangu ni watu inferior sinaga muda kupoteza na watu wa jamiii hiyo huwa naamini hata akisoma elimu gani akili inakuwa mgando sababu ya mafundisho hatari kutoka kwenye quran

Ndo maana unaona wenzio wanachapa watu wengine wanajilipua inshort you guys are inferior .....
Mkuu Mimi sio Muislam mimi ni msomi Wa Dini na sina Ubaguzi kwenye Kutetea Ukweli endapo kama upo..
Na kuanzia mwanzo nilipokujibu hakuna Sehemu hata moja Nimekutajia Fungu la Biblia Wala Quran wala Hadithi, Wala Tanakh wala Talmud wala Bhaghavad Gita..

Ila nimetaja Vitu halisi..
So I can see Huwezi kuArgue sio kwa sanabi Mimi nina Inferiority kwa sbabu huna cha Kuargue..
Means hauko well informed na unachokipinga thats The reason..

Waislam hawana Elimu Yeah ni kweli Ila wakristo hawana Elimu kabisa ila wanahisi wana elimu..
So wote huwa nawaona Mnatakiwa Mkasome tena kuhusu mambo msiyoyajua..

Sio kubishana
 
Nchi ikiwa Majorty Muslim/Christian sio kwamba ni Nchi ya Kiislamu/Kikristo.
 
Huo utamaduni haukubaliki, ni wa kupingwa kwa nguvu zote, watanganyika waingie huko kwa wingi na wakale mchana tuone kama watawakamata wote na kuwasweka ndani. Mbona bara watu wanakula mchana na hawabughudhiwi? Tena wanakula malangoni mwa misikiti yenye migahawa kwenye fremu zao
Tulia kwenu rungwe huko na ule kitimoto na ujipakae mafuta hakuna atakaye kugusa,zanzibar ina wenyewe fuata taratibu na mila za wazanzibar,ukizingua bakora tu hakuna mjadala.
 
Jambo Hili Gumu Lililojaa Ukakasi Ila Naamini Salaam Za Pasaka Zitagusia Hili
Walawi Tuna Wakati Mgumu Hata Kupiga Funda La Maji Unapigwa Fimbo
Mzaha Mzaha Hutumbuka Usaha....
Mchelea Mwana Kulia Hulia Yeye...
 
Mkuu Mimi sio Muislam mimi ni msomi Wa Dini na sina Ubaguzi kwenye Kutetea Ukweli endapo kama upo..
Na kuanzia mwanzo nilipokujibu hakuna Sehemu hata moja Nimekutajia Fungu la Biblia Wala Quran wala Hadithi, Wala Tanakh wala Talmud wala Bhaghavad Gita..

Ila nimetaja Vitu halisi..
So I can see Huwezi kuArgue sio kwa sanabi Mimi nina Inferiority kwa sbabu huna cha Kuargue..
Means hauko well informed na unachokipinga thats The reason..

Waislam hawana Elimu Yeah ni kweli Ila wakristo hawana Elimu kabisa ila wanahisi wana elimu..
So wote huwa nawaona Mnatakiwa Mkasome tena kuhusu mambo msiyoyajua..

Sio kubishana
Hapo nilipo elimu vizuri huwa najiepusha sana kuongea hoja wala mambo yeyote na waislam maana ukishajua walivyo unakuwa huna muda wa kupoteza inshort mimi siamini kama mungu yupo pia mambo ya dini huwa sifuatiliii sana

Ila dini ya kiislam kama mimi mpagani naweza sema ni dini ya hovyo na hatari kwa maendeleo ya binadamu.....pia ilianzishwa na mtu wa hovyo sana ndo maana unakuta watu wanajilipua wanakata vichwa watu mara wanapiga fimbo ....nakuharamisha hata vitu vya msingi kwa binadamu
 
Wanajiita dini ya haki na wakati wanayo yafanya haya fanani hata kidogo na kitu kinachoitwa haki ukiwaona wale wazenji na mandevu yao kama wana akili timamu vile kumbe ni upepo mtupu vichwani
 
But zanzibar ilikuwa Nchi ya kiislmu kabla ya muungano kwanini Hilo mnashindwa kuliona?View attachment 2948066
Baada ya Mapinduzi Zanzibar iliachana na Usultani na kuwa Jamhuri Republic.

Wazanzibari wamejikomboa kutoka katika Minyororo ya Utumwa wa Mkoloni lakini wameshindwa kujikomboa Kifikra Mental Slavery na hii itachukua muda na sisi Watu wa Bara tutawasaidia pole pole tu Ishaalaah
 
Tulia kwenu rungwe huko na ule kitimoto na ujipakae mafuta hakuna atakaye kugusa,zanzibar ina wenyewe fuata taratibu na mila za wazanzibar,ukizingua bakora tu hakuna mjadala.
sawa ina wenyewe, ila iache kuingilia uhuru wa watu na kuwapangia cha kuamini na kuabudu, hiyo ni sawa na ibada ya sanamu
 
Ukristu uliingia Zanzibar rasmi mwaka 1879 ulipokamilika ujenzi wa kanisa la Anglikana, na wakiristu wamekua wakiishi vizuri mpaka miaka hii ya 2000 ambapo tulishuhudia padri akipigwa risasi ndani ya kanisa ambapo tukio hilo lilionekana kuwa la kawaida japo angepigwa risasi shehe dunia nzima ingejua Tanzania ilipo kwenye ramani.
Hata historia umesahau hapo zanzibar ukristo ulikuwepo miaka na huo mwaka unaoutaja ndio sultani alvamia zanzibar na kuwatoa wareno ambao walikimbilia msumbiji ndio ukawa mwisho wa utawala wa wa miaka zaidi ya 100 kwa wareno hapo visiwani..
 
Tutawatimua wapuuzi wote wa kizanzibari walioko bara
Unao ubavu?? Jaribu uone. Anza na namba moja wa Tanzania.

Na kama ikitokea sio namba moja Mzanzibari, atakua makamo wake. Sasa unaanzia wapi kuwatimua?
 
Lilikuwa colon la waarabu jombaa mbona unakua maamuma fulani hivi ...
Waarabu hawakuwahi kutawala Sehemu yoyote kama Kolon Mkuu..

Kikao cha makoloni mwaka 1884 Waarabu walihudhuria??

Maana najua Marekani alihudhuria kama Mtazamaji Vipi waarabu??

Mkuu maana Ya Sultanate ni Utawala wa Kisultani..
Na Ulipatikana baada ya Waarabu kuchukua Uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kireno Na kusimika utawala wa Kiislamu Zanzibar
 
Back
Top Bottom