Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,884
- 4,897
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.
Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.
Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.
Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.
Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.
Nawasilisha