IamKulwa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 224
- 530
Kuzaa watoto wengi na kupata mrithi bora havihusiani. Unaweza zaa wa5 wote wakawa hopeless ila ukazaa mmoja na Akawa mtu bora kwa mahitaji yako.
Pia, leo watu kuzaa watoto wachache it's not a matter of choice, bali ni matokeo ya mabadiliko ya mifumo ya maisha.
Kwanza kusoma. Zamani kufikia 18 yrs jinsia zote zilikua ndoani so duration ya kuzaa ni kubwa. Leo up to 30 yrs watu bado wako mashuleni. Unadhani watu watazaa sana? Mwanamke wa sasa ana 10 to 15 yrs duration ya kuzaa huku wa zamani had 15 to 25 yrs ya kuzaa.
Pia uhitaji wa watoto kama labour force leo haupo.
Muhimu zaidi, kulea na kukuza mtoto siku hizi ni gharama kubwa ya fedha. Cost za uzazi, afya na kusomesha.
Bila serikali zetu kufanyia kazi hili suala la couples kuzaa watoto chini ya watatu, in 30 yrs time, tutegemea kuwa na shida ya workforce na population decline kubwa.