kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 3,964
- 6,285
Bro watoto wanaharibiwa na mzazi asikuambie mtu. Usiishi kuendana na levo ya hela zako ishi kwa utaratibu uliojiwekea kuwa mkuda na usali watoto wanatakiwa wasali na wasalishe na ukipata muda kaa nao. Usimkabidhi mtoto kitu kwa ghafla mtoto mtengeneze kidogo kidogo. Ukiwa unaenda kwenye vikao flan nenda nae au jukum flan anatakiwa kujua how things work. Anatakiwa kujua manunuz mpaka uuzaji. Anatkiwa kujua namna ya kubagain nk. Wekeana nao mikataba ya majukumu kwamba wewe utachangia hela wao wasome au waonyeshe wanatoa nini. Hii habar unakuwa na hela unajifanya mzungu utakwisha Sisi bado ni waafrica mzee kuwa mkuda utaona matunda. Mimi namalizana na mmoja amebakia lakin wawili nimewaajir huko chini utapanda cheo kwa jitihada zako sio kwa kuwa we ni mtoto wa boss. Na pesa zangu hata nikifa ni asilimia 50 tu na hata hizo hisa ni kwaajili ya kuhudumia watoto shule na matibabu na chakula na na labda gar moja kila miaka 4. Baada ya hapo wamiliki halisi wa hizo hisa ni kizazi cha tatu changu yaan watoto wa wajukuu. Unawapiga pin ya kiume. wakitaka zaid watafute wao. Cwez kuwaachia hela wakapige pumbu wake za watu huko wakat mimi ndio niliumia. Sitafut hela za kuwarahiaishia watu kuharibu watu. Baada ya hapo uza hisa kwa watu kutoka nje ili kampuni itoe ajira kwa watu zaid hakun we subiri kifo Dunia itembee.Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata wakristu walisha acha fikra za kizungu za kuzaa watoto wawili wana fiatua kweli kweli nje na ndani kuzini sio shida kwao.
Hapa kazini our senior sumpretedant alikua na watoto wawili yeye anawaita Max ndo mkubwa na "Junior J" ndo last borne for the last 22yrs walikuwa wana ishi abroad, sumpretedant wetu mwaka kesho au kesho kutwa anastaafu, na ile kazi kwasababu ni shareholder nafasi yake inebidi irithishwe na moja ya watoto wake, hao watoto waliletwa kwenye cocktail party na wafanya kazi wengine waikuepo kwenye party, ila pale hamna mtoto loh!!!!, Max kafuga nywele za raster katoboa masikio na pua ana viashiria vya mrengo fulani ila no one can dare to tell the boss direct, Junior kashakua addict wa pambe na other drugs akijitambua kwa siku ni masaa kama mawili tu.... kwa ufupi ni kwamba senior sumpretendant wetu hana mrithi mwenye vinasaba na ni lazima aondoke kazini kwa mjibu wa katiba yao.
Hana mtoto zaidi yao, jama maumivu anayo pitia asikuambie mtu anaonekana kazini ni mtu wa mawazo na isolated.