Kwa hiki nilichoshuhudia huu mpango wa uzazi wa kuzaa watoto wawili au watatu siwezi kuufanya

Ndo

Ndio maana yake,tuliokulia familia ya watoto wengi ndo tunajia tabu tulizopata huko mambali.
Huwezi kuishi mjini ukawaza kufyatua.

Mkuu mabushi ndo wana hizo kazi,angalia maisha Yao Sasa.
Kwangu mm Bora niwe na watoto wawili ila niwe na uhakika kuwapa Kila kinachotakiwa mpaka wawe watu wazima.
Washindwe wenyewe,sio mm kushinda kuwatunza
Shida ni ukizaa halafu ndio utegemee kupata akili ya kulea. Unatakiwa tokea haujapiga bao lako tayari uwe na mpango mkakati wa namna ya kuishi na familia kubwa.

Ujue mkeo atakula nini na watoto, utawavalishaje, watalala wapi na kwa mpangilio upi, utawapa elimu gani ili wapate maarifa ya maisha, utawalinda vipi na bugudha za maisha, utawapa matumaini gani ya kufikia maisha mazuri etc.
 
Mkuu umeona eeeh..
Same to me naongea hili kwa experience kabisa.
Unaweza kujikuta first born ndo tegemezi kwa waliobaki...
Hupumui an dah
First born kuwa kutegemewa na familia ni matokeo ya wazazi wazembe kuleta watoto duniani kama investment ya kipato badala ya kupandikiza mbegu ya ustawi wa jamii.

Hii huwa inanikwaza sana. Mzazi unampa mtoto wako wa kwanza majukumu yako kwa kisingizio kuwa yeye ni mkubwa, hapana huyo ni mtoto na ana haki ya kukua na kusimamiwa kila kitu.

Jitahidi tu kuprovide sapoti mtoto akue akajitegemee na asijekupata mzigo wa kusimamia au kuhudumia familia yako ambayo ni wajibu na jukumu lako kuilea.
 
Hatari,ndo maana mm maisha niliyoishi sitaki wanangu wayapitie.
Ndo maana ukiishi mjini utajua ninachokizungumzia.Lakini waishio bush ni ngumu.
Mm Kuna ambao nimekuwa nao rika Moja na mm,ambao Bado wapo kijijini,unaambiwa ana watoto 5,6,7.
Maisha mabovu tu,mpaka mtu anashindwa kununua sare za shule za baadhi ya watoto wake.
Mie ninao baadhi ila najitajidi Kila hali na Mali kukidhi mahitaji Yao.

Sasa hapo mjanja Nani,yeye mwenye rundo na kushindwa kuwapa daftari ama Mimi ninaejitahidi Kwa nilionao.
Kiufupi,kuwazalisha wengi sio sifa mkuu,bali kueahidumia.
Mi hakuna wa kujidanganya ujinga,tabu nazijua kabisaaaaaa.
Hao walichofeli ni mpango mkakati tu wa namna ya kulea familia kubwa. Gharama zipo pale pale hata ukiwa na watoto wawili tu.

Kuna watu wana watoto wawili ila wanawalipia ada tu kwa mwaka milioni 3.5 bado kuwalisha na mavazi na gharama zingine za nyumbani unakuta mtu anatumia pesa nyingi.

Watoto wanaweza soma shule hata za kawaida ila wakawa na promising future kushinda hata hao unaowapeleka shule kama IST.

Wewe unapanga ila MUNGU ndie anabariki uzao wako so weka mipango na jitihada za makusudi ili familia yako iwe katika mazingira ya kuwa na ustawi mzuri na MUNGU hatakuacha.

Unachotakiwa ni kuwa serious kama mzazi na kutambua wajibu wako.
 
Kama mtoto wa kwanza na wa pili wako ivyo, ni nini kinakufanya ushawiahike kuwa angezaa kumi wangekuwepo wanaofaa? Au mm ndo sijaelewa?
Katika 10 huwezi kukosa wote, kwasbb alisha jua makosa yake ni malezi mabaya, huenda katika wengine angerekebisha nakupata mrithi sahihi.
 
Sasa hapo issue yako ni kuzaa watoto wachache au kuzaa watoto vilaza??Kuna watu wanawatoto wengi lkn hata wakisema wachange 100,000/= baba yao anaumwa hawawezi, kuna watu wana mtoto mmoja lkn ni nguvu kazi moja balaa..
Kuna mtu ana watoto wengi na wote wamefanikiwa, kuna mtu ana mtoto mmoja au wawili wote wamechizika.
Ninachimaanisha hakuna formula moja..maisha hayako hivyo..zaa kulingana na Mungu atakavyokuwezesha au unavyitamani au ulivyokubaliana na mwenza wako, then jitahidi kuwalea watoto au mtoto ipasavyo ns kuwaombea...baada ya hapo huna cha kufanya wataendeshwa na utashi wao...
Malezi mzeee. Unajua sijajua why watu huwa hawatazami mifumo ya malezi wazazi wanatumia. Mfumo wa malezi ndio utakupa majibu kuwa huyu mzazi anatarajia nini kwa watoto wake siku za baadae.

Huwezi lea watoto kama ng'ombe halafu waje kuwa smart. Huwezi lea watoto kwa kutowapa spirit ya kushirikiana unawajenga na spirit ya ninyi nyote ni sawa na hakuna aliyebora kumshinda mwenzake, wakati wakijitazama wanaona kabisa kuwa kuna ambao wanakauzembe na ni mzigo kwa familia why watoto wasichukiane.

Mzazi ni kama mahakamanya haki, unatakiwa kuwawajibisha watoto wako kwa namna walivyo bila kuwachekea au kuwaonea aibu hapo ndipo wataweza kupendana na kuwa imara katika kushirikiana.
 
Ni kwr
Hao walichofeli ni mpango mkakati tu wa namna ya kulea familia kubwa. Gharama zipo pale pale hata ukiwa na watoto wawili tu.

Kuna watu wana watoto wawili ila wanawalipia ada tu kwa mwaka milioni 3.5 bado kuwalisha na mavazi na gharama zingine za nyumbani unakuta mtu anatumia pesa nyingi.

Watoto wanaweza soma shule hata za kawaida ila wakawa na promising future kushinda hata hao unaowapeleka shule kama IST.

Wewe unapanga ila MUNGU ndie anabariki uzao wako so weka mipango na jitihada za makusudi ili familia yako iwe katika mazingira ya kuwa na ustawi mzuri na MUNGU hatakuacha.

Unachotakiwa ni kuwa serious kama mzazi na kutambua wajibu wako.

Hao walichofeli ni mpango mkakati tu wa namna ya kulea familia kubwa. Gharama zipo pale pale hata ukiwa na watoto wawili tu.

Kuna watu wana watoto wawili ila wanawalipia ada tu kwa mwaka milioni 3.5 bado kuwalisha na mavazi na gharama zingine za nyumbani unakuta mtu anatumia pesa nyingi.

Watoto wanaweza soma shule hata za kawaida ila wakawa na promising future kushinda hata hao unaowapeleka shule kama IST.

Wewe unapanga ila MUNGU ndie anabariki uzao wako so weka mipango na jitihada za makusudi ili familia yako iwe katika mazingira ya kuwa na ustawi mzuri na MUNGU hatakuacha.

Unachotakiwa ni kuwa serious kama mzazi na kutambua wajibu wako.
Ni kweli usemacho.ila Kila mtu anajua nguvu zake,ila sio kuzaa watoto rukuki ilihali huwezi kueahidumia ni dhambi na mizigo Kwa jamii.Kikubwa ubebe kile uwezacho.
 
Back
Top Bottom