Search results

  1. dr namugari

    Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  2. dr namugari

    Natafuta Probox used namba A,B,C,D

    Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie Bajeti yangu Ni 4m , Nataka niuuzr guta nimiliki pro box Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
  3. dr namugari

    Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  4. dr namugari

    Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

    Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
  5. dr namugari

    Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  6. dr namugari

    Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

    Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno Mfano wengi unaawakuta wako BOT UDSM SUA IFM TRA UHAMIAJI WAJUMBE WA BODI TARURA TAKUKURU JWTZ Kwa kifupi Ni hivi, wote hakuna hata mwalimu wa...
  7. dr namugari

    Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  8. dr namugari

    Vitambulisho vingi vya Nida vimekosewa

    Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa Kuanzia majina Maahali uliko zaliwa Wilaya uliko zaliwa Kijij uliko zaliwa Kata Shule ya msingi niliyo Soma nk... Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini...
  9. dr namugari

    Kwanini Mzee Jaji Warioba alirundikiwa vyeo vingi sana enzi ya Mwalimu Nyerere

    Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika? Nataka kuelewa kwanini...
  10. dr namugari

    Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

    Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano Pili...
  11. dr namugari

    Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

    Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
  12. dr namugari

    Hivi Hakuna Mpinzani aliyetunukiwa hata Nishani Moja la daraja la nne mbona watu wote waliotunukiwa Ni wa wanaccm

    Kwa mbali Sana nimeona waliotunukiwa nishani leo na Rais Samia Ila ajabu hata hakuna mpizani yoyote aliyepewa tuzo hiyo Ina maan wapinzani hawna mchango wwote ktk kufikiwa kwa muungano huu wa kitapeli wa miaka 60 Nataka kujuwa kigezo Cha kutunikiwa nishani ni nini? Pia Soma - Rais Samia atoa...
  13. dr namugari

    Kuna raia wa nje anataka kunitapeli

    Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha shilingi laki moja had laki 5 kwa kufanya Kaz atakazo nipangia yeye Je huu si utapeli Je Kuna Rai...
  14. dr namugari

    Nyumba ilikuwa inagombaniwa lakini sasa hakuna anayetaka kwenda kupanga, afanyeje?

    Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure! ==== Kutoka mtandaoni.... T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu. Niko na nyumba mkoani ambapo napangisha, siku za hivi karibuni niliamua kuifanyia ukarabati na...
  15. dr namugari

    Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
  16. dr namugari

    Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

    Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
  17. dr namugari

    Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

    Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku Leo Sina pesa kabisa ya kula. Asanteni
  18. dr namugari

    Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid sna Ni leseni yako tu itakuweka salama na mtaji wa angalau milion 3 na ukiwaa Zaid utapiga Zaid pesa...
  19. dr namugari

    Bei ya umeme Kenya umeshuka kufatia kuimarika kwa shilingi ya Kenya dhidi ya pesa za kigeni

    Mmmesikiaaaaa jirani anafanyaje bila uchawa Hongera sana Wiliam Rotu kwa kazi kubwa unayoifanya hapo Kenya nimesikia umechukuw hatua kushusha Bei ya nishat ya umeme na wananchi wamelipokea kwa furaha kubwa mno na hatujasikia wa kusikia machawa yoyote awakikusifu kwa nyimbo na mapambio Huku...
  20. dr namugari

    Ushauri: Nataka kuanza kuwa chawa ,uchawa unalipa

    Jana nilkuwa sehemu nimetuliaa nasubiria mechi ya yanga bas napiga zangu bia ya killimanjaro mdg mdg Basi akafika dad mmoja hivi wa makamu wako na rafiki zake wawili wazuri Kweli japo umri wao umenda kdg Ni Hawa wanaitwa mashangazi wakaomba wake kwenye meza nilioko mm Kumbe Huyu dada...
Back
Top Bottom