Mzee alipata kuwa
Jaji Mkuu
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika?
Nataka kuelewa kwanini...
Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki...
Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga?
Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa...
NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari?
Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu.
Mzee...
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu...
Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba.
Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee...
Kama ukiwa huna Akili Kubwa na siyo Critical Thinker kamwe Siku zote hutoweza Kumuelewa Genius Mwingine wa Kizanaki Waziri Mkuu, Kada Mwandamizi wa CCM na Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa yale ama anayoyaona au ayasemayo.
Amesema na Ameshasema mengi ila kwa leo GENTAMYCINE (Mzanaki...
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani.
Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango...
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...
''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu.
Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
Salaam Wakuu,
Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine.
Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja?
Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri, mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya watanzania.
Hii inapingana na Naibu Spika alivyogombana na Mbunge wa Mbeya Mjini Mbilinyi. Tulia...
Nimefurahishwa sana na viongozi hawa kujitokeza na kuwa wawazi kwa yale yaliyojiri katika awamu ya iliyopita
Ni ukweli japo mchungu kwa baadhi yetu
Sisi kama Taifa kuna mahali tulikua tunaelekea kupoteza dira na umoja wetu
Ukabila na ukanda zikawa ndio qualities (sifa) za MTU kuwa viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.