jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Presha, figo, maini vinanyemela wanywaji. ni jambo jema kuanza kutunza savings za matibabu. kuomba michango na kuchota bajet ya familia si jambo jema

    Hasa wanaotumia pombe kupitiliza Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu. Figo kufeli mawe kwenye figo homa ya ini Presha / BP Kibofu uti n.k. Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa...
  2. R

    Ni jambo gani Amos Makala amewahi kubuni, kutekeleza na likafanikiwa?

    Nimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi. Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia...
  3. plus_ix

    Ni jambo gani unajivunua ulilolifanya kwaajili ya Taifa?

    Bonjour, Bila kupoteza muda ukiachana na kulipa kodi ni jambo gani unajivunia kulifanyia Taifa lako. Mfano jeshi la wananchi mwanajeshi ana cha kujivunia binafsi najivunia kuchangia damu bila shuruti kwa hiali kabisa na kwakuwa damu yangu ni group O mim ni Universal global donor najua damu...
  4. vibertz

    Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
  5. M

    Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
  6. greater than

    Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

    Niliyojivunia: 1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa wakiongea kwa kuangaliana makabila tu, yaani Mhutu kwa Mhutu au Mtutsi kwa Mtutsi hata kama wamekaa...
  7. D

    Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  8. M

    Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

    Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana. 1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
  9. Kabende Msakila

    Ukitenguliwa tulia, kila jambo lina wakati wake

    Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
  10. KikulachoChako

    Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

    Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  12. Nyendo

    Jambo au mambo gani hutaki kuyaona yakijirudia tena kwenye chaguzi zijazo?

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na baada ya matokeo. Yapo mambo mengi yalitokea nyakati au chaguzi zilizopita ambayo yaliibua hisia...
  13. covid 19

    Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
  14. R

    Kuna viongozi wana picha nyingi mitandaoni zisizoendana na utatuzi wa kero za maendeleo; kila jambo wamejiposti

    Ukiona kiongozi anapenda kila anapokwenda vyombo vya habari vimpige picha na kuposti tambua huyo hana maono. Utendaji kazi haupomwi kwa wingi wa picha na ziara ulizofanya; utendaji kazi upimwa kwa idadi ya kero ulizotatua . Na siyo kero ulizotatua pekee bali namna ulivyotafuta ufumbuzi wa...
  15. Miss Zomboko

    Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
  16. SAYVILLE

    Labda Simba kwenda Kombe la Shirikisho ni jambo jema kwa sasa

    Niliwahi kutoa ushauri kwa Yanga kujikita kwenye kombe la shirikisho maana wameonyesha wana uwezo wa kukomaa na kuchungulia ubingwa kabisa. Baada ya ushauri ule nilishambuliwa sana na mashabiki lia lila wa Deportivo de Utopolo. Leo nawageuzia kibao wana Lunyasi wenzangu. Simba imeonyesha kupata...
  17. Lord denning

    Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

    Ukienda China kuna mfumo wa mikoa kama kwetu. Wao wanaita Provinces, na tofauti yao na sie ni kuwa wao mikoa yao ni mikoa ya kiuchumi ( Economic provinces) wakati sie mikoa yetu ni mikoa ya kisiasa (political provinces) Wanapotushinda China ni watu wanaoteuliwa kuongoza hizo provinces. Kwao...
  18. Makamura

    Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

    Mtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na...
Back
Top Bottom