Na mimi nieleweshe mchumbaView attachment 2979919Nimepoteza karibia dakika 20 nzima mpaka kuja kuielewa hii picha.
I thought umeolewa! 😳
Huyu dem sura yake haina nuru kabisa.
Past ya mwanamke matters alot. Alot alot alot.
Sema hii picha jau sana inakupa ukweli mchungu kuhusu mahusiano na wanawake in general.