nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 10,905
- 10,285
KabisaUmeoa?
Nina wajukuu.
KabisaUmeoa?
Kweri nikiwai kumchapa mpka mangumi hakuna siku nilijutua kama ile maana nilimpasua mpk sasa sitakaa nimpige mwanamke aseeee😂😂😂Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.
Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe, niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo fulani hivi.
Haikuwa kesi sana, sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi, mie mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani.
Kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi, kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
UmebarikiwaKabisa
Nina wajukuu.
AmenUmebarikiwa
Ni majambo madogo madogo tu ya hapa na pale, binaadam mkikaa pamoja yaweza kutokea hasa kwa hali ya Mume&Mke. Sina ushauri kwasababu maamuzi uliyoyachukua hayakua maoni yangu.Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.
Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe, niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo fulani hivi.
Haikuwa kesi sana, sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi, mie mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani.
Kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi, kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
Mnapendana sana?kitu kilichonishinda maishani mwangu ni kumpiga mwanamke, hususan mke wangu wa ndoa ndo siwezi kabisa.
mungu atujaalie mie na mamsapu wangu tusiwe na magomvi.
Miaka mitatu tu?..samia mwenyewe juzi kala kichapoSijawahi kupiga mwanamke na sintowahi nimeishi na mwanamke miaka mitatu
siwez kuusemea moyo wake, lakini kwa upande wangu penzi nzito kilo 150.Mnapendana sana?
Nye nye nyeeeeeh ahahaha, ati bonge la nini mkuu😂😂😂Bonge la kosa
Mwanamke hapigwi
Hasira zikiwaka ondoka au safari
Baada ya muda unarudi
Mwanamke huchapwa nao...fimbo spesheli....Nye nye nyeeeeeh ahahaha, ati bonge la nini mkuu😂😂😂
Unauliza sisi wenye wake wanne au wa mke mmoja? Kuoa mke mmoja ni kujifunga gereza la mateso.Good evening,