Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,814
15,087
Good evening,

Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.

Well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe, niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo fulani hivi.

Haikuwa kesi sana, sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi, mie mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani.

Kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi, kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.

Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
 
Umefanya vizuri, usiombe msamaa, we tulia hivyo hivyo; na usimuombe shoo mpaka yeye mwenyewe ajisogeze.

Akiamua kuondoka usimzuie, atarudi mwenyewe tu.

Kama ni mtu wa pombe, toka kidogo ukapige chupa mbili tatu alafu urudi; kisha kuwa bize na mtoto/watoto wako.

Hapo lazima atajishusha mpaka utamuonea huruma.

ugomv.jpg
 
Majukumu ya mke unamwambia dada w kazi afanye!!.....we kweli umechanganyikiwa

Ulishindwa nini kumpa amri kama baba wa nyumba??? Hata km amenuna unatoa tu amri "niwekee maji ya kuoga" hlf uone km hatofanya

Hapo ataenda kusema unatembea na dada wa kazi hlf sijui utajiteteaje
 
mkubwa naelewa kitu unapitia imewai nikuta hiyo kwanza pole kwa maudhi uliyo pewa kufikia kiasi kumlamba makofi ..

Nasisitiza sana cha kwanza hujakosea kuna wakati wake hujisahau hivyo kumrudisha mstarini sio mbaya. na hakikisha hujutii maamuzi maana nafsi yako itaumia sana. cha muhimu usirudie kupiga untill avuke tena mstari amini kajifunza kitu.

Changamoto unayopitia nikutaman mrudi katika hali iliyo shwari amini kwamba kaa kimya wala usijieleze kwa ndugu ni mkeo handle hilo kiume USIMUOMBE MSAMAHA Ikiwa unajua kakosea.. basi tengeneza tu mazingira yaku mfuruhisha ata poa ... vijizawad mletee kitu alichotaman na hukuwai mpa kabla..

Narudia usihusishe ndugu wala marafiki simama kiume Solve wewe na Mkeo watu wanavyo dhidi kuwa wengi jambo linakua kubwa.

Hawezi ondoka mpe muda hasira zitatulia mtarejea awali ... mwisho HONGERA KUTO ACHA UPUMBAVU ulipo ona anataka kukupanda kichwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom