Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

Relax broo uyo ana mdudu kichwani teyari ana mtu anampa jeuri so acha kukaa home kifala ,mpotezee ukijishusha naye atakukazia utapoteza points hao viumbe nikuishi nao kimamluki waskuelewe Wala usimfatilie atakuigizia
 
Kwanza naku pongeza kwa hilo .mwanamke kuna mda ni kama mtoto ina bidi aonje joto kidogo .
_Mit 23:13
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa._

Then sion haja ya kuwaza sana just stay calm and watch ata usi jitete wala kujieleza kwa mtu yoyote
 
Good evening
Moja kwa moja kwenye mada,naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike kidogo home.well toka nifike home naona wife ana harakati nyingi tu ambazo sizielewi..last week kabla likizo yangu haijaisha nikaamua kumlia timing huyu kiumbe ,niko ndani afu kaondoka kaenda kariakoo bila kuniaga kwa Madai yake alienda kufunga mzigo flani hivi..haikua kesi sana ,sasa leo niko home nikaona ye hajishughulishi na mimi...me mambo yangu nikawa nampa maelekezo dada wa kazi,kumbe wife akawa anaumia why nampa maelekezo dada while yeye yupo..dada akaondoka kumpeleka mtoto shule akatuacha wawili ndani..kwa kifupi wife kanitamkia maneno ya maudhi..aisee nimemchapa makofi sio poa na toka nimuoe huyu naamini sijawahi kumgusa kwa kuchapo ila leo kavuka mstari mwekundu ndio maana kala makofi...kanuna mpaka saivi na kawapigia ndugu wote kuwa anataka kuondoka coz anahisi me niko na mtu mwingine.
Naomba ushauri wa kiutu uzima hapa nifanyeje kuweka mambo sawa?
waga wajinga sana hao.
 
ulitakiwa uhakikishe alama ya kofi imebaki shavuni, kaa kimya tulia ukianza kujielezea utakosa point zako huwezi kutoka ndani mke wa mtu usimuage mumeo unapokwenda ni wajibu wake ajue unakwenda wapi tena hata ukiona safar inamashaka ruksa kumkatalia mwache aondoke wewe tulia kimya akiondoka usimtafute atajua tubalipokosea kama mke mtiifu atajirudi trust me akishajirudi akaomba msmaaha wewe sasa ndio unarudi kwenye hali yako yavkawaida na hapo ndio unamwambia alikuker mno akusamehe kumpiga ila asije akarudia mambo kama hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom