Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 1,388
- 3,187
Mkuu vipi kuhusu Maskini Wengi?
Na ya rostamNgoja nikaangalie cv ya Manji na GSM kwanza
Bongo hii unakuta mtu ni muuguzi hapo hapo ana mawazo ya kuwa kama bakhressa angali ameajiriwa 😀Hii obsession ya kwamba eti wasomi (wengi/wote) wanapaswa kutajirika kwa vile tu wamesoma ni kiinimacho tu ambacho hakina uhalisia katika kanuni za kiuchumi na uhalisia wa maisha.
Mpumbavu kwanini ulisoma ungebaki Bila elimu ili na wewe uwe tajiriIkiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.
Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.
Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.
Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.
Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.
Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu
Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Jamaa anajuwq haswaaNowadays mkubwa unaleta vitu heavy mno kimsingi l appreciate.
Mm sijui mkuuMkuu vipi kuhusu Maskini Wengi?
Kwani hao wasomi si ndio wamerudikana serikalini? Hao wasomi si ndio wanao kula rushwa makazi I mwao? Mbona serikali inapo sign mkataba mibovu na sheria mbovu hawajitokezi kupinga au ushauri. Hao wasomi si ndio machawa? Mbona hatuoni vyuo vikuu vigoma au kujadili udhaifu wa serikali?Kwani inahitaji elimu kubwa sana katika kuchimba madini, kulima, kufuga, kuchuuza vitu, kuiibia serikali au kufanya udalali??....
Kiuhalisia, Tanzania ni nchi ambayo imekaa kiukulima, kiuchuuzi, kiufanyakazi na vitu vyote ambavyo havihitaji MIFUMO. Kwa hiyo watu wenye elimu, vipaji na uwezo kiakili sio rahisi kutoboa maana nchi haina mfumo wa kulinda gunduzi zao kiasi cha kuwanufaisha ndio maana ni ngumu kukuta matajiri waliotengenezwa na teknolojia ama sanaa..
Benjamin fernandez tu aliona akaipeleke NALA nairobi kuliko Dar maana aliona atafeli
Cha kusikitisha watu wengi wanaendelea kulaumu wasomi daily kwa kuwashauri wafanye hand to mouth, lakini ni nani anaewashauri viongozi wetu kuweka system za kulinda gundizi na kazi za sanaa ili watu kama hai wasife njaa..
Sio kila mtu anatakiwa kuwa mkulima wa jembe la mkono kwa karne hii ya 21
Kwani hao wasomi si ndio wamerudikana serikalini? Hao wasomi si ndio wanao kula rushwa makazi I mwao? Mbona serikali inapo sign mkataba mibovu na sheria mbovu hawajitokezi kupinga au ushauri. Hao wasomi si ndio machawa? Mbona hatuoni vyuo vikuu vigoma au kujadili udhaifu wa serikali?
Tajiri maana yake ni nini?Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.
Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.
Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.
Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.
Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.
Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu
Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Haya kunya bogaIkiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.
Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.
Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.
Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.
Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.
Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu
Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Hi itabdi tufungue mada juu ya hiliHiWalio soma, wengi wameishia kukumbiza bodaboda hovyo hovyo mitaani humo.
😀😀, ufungue mkuu... Utashushiwa comments nyingi sanaHi itabdi tufungue mada juu ya hili
Manji kasoma tena USA sijui kwa GSM. Lakini pia manji karithi Mali za mzee wake mehboob manjiNgoja nikaangalie cv ya Manji na GSM kwanza
Alah kumbe sio darasa la sabaManji kasoma tena USA sijui kwa GSM. Lakini pia manji karithi Mali za mzee wake mehboob manji
Vipi umeipata unionyeshe?Na ya rostam