Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.

Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.

Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.

Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.

Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.

Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu

Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Utajiri ni wide concept na Utajiri haupatikani tu kwa kusoma, unaweza uka approach kwa mbishe mbishe nyingine, take as kusoma kama silaha ya kuuondoa umaskini, una utilize vipi elimu yako kupata utajiri hapo ndio kipengele
 
Hakuna uhusiano (wa moja kwa moja) kati ya elimu na utajiri. Na ukweli huu unasimama karibu dunia nzima. Ni Tanzania (au niseme Afrika) ambako elimu imevishwa jukumu lisilo lake la kwatajirisha waipatayo. Na hiki ni kichochezi kimojawapo kikubwa cha ufisadi huu wa kihayawani tunaoushuhudia huku kwa mtu mweusi. Nitashangaa sana kumkuta eti profesa wa Marekani ametajirika? Atapata wapi muda wa kufanya biashara wakati jukumu lake kuu ni kufanya utafiti na kurithisha maarifa na uzoefu wake kwa kizazi kipya?

Kama unataka mtoto wako awe tajiri basi elimu ya kidato cha 4 au 6 inamtosha sana. Ajabu sasa hata akija kutajirika bado atahitaji walimu ili wamsomeshee watoto wake. Bado akiumwa atahitaji madaktari. Akitaka kujenga maghorofa yake atahitaji wasanifu wa majengo. Na Range Rover litahitaji mainjinia wa barabara...na mengineyo.

Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba elimu inahitajika ili kujenga fani ambazo zinahitajika katika jamii iliyostaarabika; na jukumu lake kuu siyo kuwatajirisha wenye nayo. After all, mifumo ya uchumi jinsi ilivyosukwa, kamwe haiwezekani watu wengi kutajirika. Ndiyo maana katika serikali/jamii zinazojitambua jukumu kuu la serikali huwa ni kuinua maisha ya watu wote kwa kuhakikisha kuwa wanapata mahitaji yao ya msingi na kuishi maisha yanayoridhisha.

Hii obsession ya kwamba eti wasomi (wengi/wote) wanapaswa kutajirika eti kwa vile tu wamesoma ni kiinimacho tu ambacho hakina uhalisia katika kanuni za kiuchumi na uhalisia wa maisha.
Huyu ndio Simba wa buyenzi my man 😂
 
Hili wasomi wengi wakilitambua litakua na matokeo chanya na kuijenga upya jamii yetu.

Si ajabu hii ya kila mtu kutaka kua tajiri mkubwa ndo chanzo kimojawapo cha kutowajibika, rushwa, ufisadi ulikithiri nk

Kila mtu atataka afanikiwe kwenye sekta yake, muhasibu OKW BOBAN SUNZU atataka kujenga maghorofa kwa pesa za umma na wengine kula kwa urefu wa kamba zao.
 
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.

Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.

Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.

Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.

Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.

Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu

Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Elim ya Tanzania na Africa kwa ujumla Ina wafanya wa watu kuwa watumwa wa elimu Yao. Nchi kama tanzia hautaji Elim ya natharia, inahitajika elimu ya vitendo zaidi.
 
Hakuna uhusiano (wa moja kwa moja) kati ya elimu na utajiri. Na ukweli huu unasimama karibu dunia nzima. Ni Tanzania (au niseme Afrika) ambako elimu imevishwa jukumu lisilo lake la kwatajirisha waipatayo. Na hiki ni kichochezi kimojawapo kikubwa cha ufisadi huu wa kihayawani tunaoushuhudia huku kwa mtu mweusi. Nitashangaa sana kumkuta eti profesa wa Marekani ametajirika? Atapata wapi muda wa kufanya biashara wakati jukumu lake kuu ni kufanya utafiti na kurithisha maarifa na uzoefu wake kwa kizazi kipya?

Kama unataka mtoto wako awe tajiri basi elimu ya kidato cha 4 au 6 inamtosha sana. Ajabu sasa hata akija kutajirika bado atahitaji walimu ili wamsomeshee watoto wake. Bado akiumwa atahitaji madaktari. Akitaka kujenga maghorofa yake atahitaji wasanifu wa majengo. Na Range Rover litahitaji mainjinia wa barabara...na mengineyo.

Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba elimu inahitajika ili kujenga fani ambazo zinahitajika katika jamii iliyostaarabika; na jukumu lake kuu siyo kuwatajirisha wenye nayo. After all, mifumo ya uchumi jinsi ilivyosukwa, kamwe haiwezekani watu wengi kutajirika. Ndiyo maana katika serikali/jamii zinazojitambua jukumu kuu la serikali huwa ni kuinua maisha ya watu wote kwa kuhakikisha kuwa wanapata mahitaji yao ya msingi na kuishi maisha yanayoridhisha.

Hii obsession ya kwamba eti wasomi (wengi/wote) wanapaswa kutajirika eti kwa vile tu wamesoma ni kiinimacho tu ambacho hakina uhalisia katika kanuni za kiuchumi na uhalisia wa maisha.
Nowadays mkubwa unaleta vitu heavy mno kimsingi l appreciate.
 
Kwani inahitaji elimu kubwa sana katika kuchimba madini, kulima, kufuga, kuchuuza vitu, kuiibia serikali au kufanya udalali??....

Kiuhalisia, Tanzania ni nchi ambayo imekaa kiukulima, kiuchuuzi, kiufanyakazi na vitu vyote ambavyo havihitaji MIFUMO. Kwa hiyo watu wenye elimu, vipaji na uwezo kiakili sio rahisi kutoboa maana nchi haina mfumo wa kulinda gunduzi zao kiasi cha kuwanufaisha ndio maana ni ngumu kukuta matajiri waliotengenezwa na teknolojia ama sanaa..

Benjamin fernandez tu aliona akaipeleke NALA nairobi kuliko Dar maana aliona atafeli

Cha kusikitisha watu wengi wanaendelea kulaumu wasomi daily kwa kuwashauri wafanye hand to mouth, lakini ni nani anaewashauri viongozi wetu kuweka system za kulinda gundizi na kazi za sanaa ili watu kama hai wasife njaa..

Sio kila mtu anatakiwa kuwa mkulima wa jembe la mkono kwa karne hii ya 21
 
Hakuna uhusiano (wa moja kwa moja) kati ya elimu na utajiri. Na ukweli huu unasimama karibu dunia nzima. Ni Tanzania (au niseme Afrika) ambako elimu imevishwa jukumu lisilo lake la kwatajirisha waipatayo. Na hiki ni kichochezi kimojawapo kikubwa cha ufisadi huu wa kihayawani tunaoushuhudia huku kwa mtu mweusi. Nitashangaa sana kumkuta eti profesa wa Marekani ametajirika? Atapata wapi muda wa kufanya biashara wakati jukumu lake kuu ni kufanya utafiti na kurithisha maarifa na uzoefu wake kwa kizazi kipya?

Kama unataka mtoto wako awe tajiri basi elimu ya kidato cha 4 au 6 inamtosha sana. Ajabu sasa hata akija kutajirika bado atahitaji walimu ili wamsomeshee watoto wake. Bado akiumwa atahitaji madaktari. Akitaka kujenga maghorofa yake atahitaji wasanifu wa majengo. Na Range Rover litahitaji mainjinia wa barabara...na mengineyo.

Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba elimu inahitajika ili kujenga fani ambazo zinahitajika katika jamii iliyostaarabika; na jukumu lake kuu siyo kuwatajirisha wenye nayo. After all, mifumo ya uchumi jinsi ilivyosukwa, kamwe haiwezekani watu wengi kutajirika. Ndiyo maana katika serikali/jamii zinazojitambua jukumu kuu la serikali huwa ni kuinua maisha ya watu wote kwa kuhakikisha kuwa wanapata mahitaji yao ya msingi na kuishi maisha yanayoridhisha.

Hii obsession ya kwamba eti wasomi (wengi/wote) wanapaswa kutajirika eti kwa vile tu wamesoma ni kiinimacho tu ambacho hakina uhalisia katika kanuni za kiuchumi na uhalisia wa maisha.
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

Kinachostahili kuwekwa ni mfumo, ukiangalia duniani, working class au middle income class wengi ni elites kutokana na professional works

Ukiangalia pia, nchi hizo zimeweka mifumo thabiti kiasi kwamba kila mwenye potential, iwe ya darasani au si ya darasani anatoboa..

Mfano leo hii msanii kama Michael Jackson, pesa anayoiingiza akiwa amelala kaburini inaweza kulea beneficiaries wake pasipo wao kufanya kazi.

Hao kina Mark, bill gates au elon, wote wanafanikiwa kwa sababu patent system ipo vizuri.. Njoo huku kwetu

Leo msomi akifanya invention, anafaidikaje nayo

Kina kanumba au Ngwair, Leo kazi zao zinafaidishaje familia zao

The issue is, katika nchi ambayo brains zinazoiendesha zinawashauri wasomi kutofikiria au kufanya makubwa zaidi ya kwenda kwenye kilimo cha jembe la mkono. Matajiri gani wanaweza kuzalishwa

Issue hii ni pana brother but in reality, mifumo kwa Tanzania hakuna ndio maana hata private sector inachechemea. Na bila private sector kubwa, matajiri watapatikana wapi brother??
 
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya tanzanite na biashara za mifuko.

Jana nilikutana na tajiri mmoja hapa Dodoma aliishia darasa la saba nikamuambia kama siyo shule imenipotezea muda leo ningekuwa mbali mno tena tungekuwa tunakula sahani Moja na wewe alichekaa sana ndipo akasamema yeye angepata hata robo ya elimu yangu hata diploma tu angekuwa billionaire had sasa hivi, nikaona kabisa anatamani elimu yangu na mimi natamani biashara yake.

Akasema laiti angeishia hata fom four au diploma angepasua sana na madili kibao angepiga.

Akanimbia elimu ni Bora sana kama una akili za maisha ila ni mbaya sana kama unashindwa kutimia elimu yako kupata kipato.

Mwisho akasema yeye sasa hivi anahakiksha watoto wake wanapata elimu Bora wote wamesoma St Constantine arusha huko ada milion 15.

Mzee huyu ni mfanyabisha mdogo sana wa pembejeo za kilimo na viuatilifu

Imagine ni matajiri wangapi wamesoma Wana elimu kubwa una wafahamu? Mzee Mengi marehemu ana Diploma ya Uhasibu the rest ni la saba au form four failures!
Rostam Aziz Hana degree ya uchumi!!
 
Mzee Mengi ni CPA holder wa Kwanza Kwanza.
 
Elimu versus Akili versus Mafanikio katika maisha.

Unaweza ukasoma sana lakini unaweza ukawa haujaelimika.

Aidha, unaweza kuelimika sana lakini Elimu yako ikawa haijakukomboa katika maisha yako.
Kusoma ni jambo moja, akili jingine, juhudi, maarifa na utajiri (wa mali, ambao siyo lazima yawe mafanikio) ni mengine pia.
 
Back
Top Bottom