Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Hapana; mambo yakiwaka sana USA na western alliances wataingilia kati , hasa pale usafirishaji kwenye Red Sea na ghuba ya uajemi ukiathirika sana. Tatizo kubwa la Israel ni Netanyahu; mtu huyuakiondolewa tu basi unaona USA itakavyochangamkia vita hiyo. Netanyahu anaongozwa na ubaguzi sana, jambo linalofanya USA yenye watu kutoka mataifa na imani zote duniani kushindwa kuwa upande wake sasa hivi.
 
Na hicho ndicho kinachoogopesha...... dunia inakwenda kutumbukia kwenye janga zito.......lakini ili kupatikane baba mpya wa dunia nadhani lazima vita hii

Na hicho ndicho kinachoogopesha...... dunia inakwenda kutumbukia kwenye janga zito.......lakini ili kupatikane baba mpya wa dunia nadhani lazima vita hii ipiganwe
Vita ni janga, ni mbaya lakini ili kutokee balance duniani ni muhimu.
 
Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita.
Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo
Shirika la habari la nchi hiyo Fars limesema milipuko iliyosikika karibu na uwanja wa ndege wa Isfahan ni kutokana na droni za Israel zilizodondoshwa huko
 
Marekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........

Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
israel pale ni Watchdog wa mataifa ya upande ule. Hakuna mtu asiyefahamu marekani ni super power kwa miaka mingi sasa. Ili kuendelea kuhold position yake lazima aangalie ni nchi gani inaweza kuwa tishio sababu kadri siku zinavyoenda mataifa mengine na yenyewe yanaanza kukua kiteknolojia hivyo kuhofia akizidiwa siku moja atashushwa pale Alipo. Kuiondoa Marekani katika ile nafasi itatumia miaka mingi sana kuliko wengi tunavyotamani iwe. Sababu alishapitia sehemu nyingi sana kama taifa na huwa hawaongozwi kwa hisia .

Kingine nafikiri mi masilahi tu ya bidhaa kama mafuta na vitu kama hivyo.na israeli yupo pale kwa ubabe maana majinan wote hawampendi ila mpaka sasa Marekani alishafanikiwa kushika nchi nyingi za kiarabu na imebaki kuwa vibaraka tu. Iran peke yake ameendelea kuwa tishio kwa misimamo mkali
 
Asante sana ndugu kwa mchanganuo wako.... unaonekana umewiva kwenye siasa za kimataifa..... karibu jamvini
 
Back
Top Bottom