Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Ni karibia masaa 24 tangu kuripotiwa kwa milipuko kadhaa huko nchini Iran eneo la Ishfaan........

Milipuko inayodhaniwa kuwa ni majibu ya Israel kwa Iran kwa kilichotokea masiku kadhaa nyuma.........

Iran iliyoahidi kuwa baada ya shambulio lake la mvua ya drones na missiles kuelekea Israel.....majibu yoyote ya Israel yatajibiwa kwa mapigo makubwa ambayo yataleta majuto makubwa sio tu kwa Israel bali hata kwa washirika wake..........

Ukimya wa serikali ya Tehran majibu ya Israel unamaanisha nini......??

Je wameingiwa na hofu kinyume na matarajio Yao au hawakutarajia Israel kujibu......???

Tuendelee kutoa muda tujue kitakachotoka jikoni mwa mpishi Tehran........
Hivi hata kama ni wewe utajibu shambulizi la drone 3 za kupigia picha harusini?
 
Back
Top Bottom