Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,240
4,767
#LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL
Jumanne April 16, 2024

Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran

Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran
Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau akijaribu kuiomba Israel isijibu shambulizi la Iran


Kikao cha Baraza la mawaziri Israel chamalizika muda huu bila kufikia muafaka wa jinsi gani watajibu shambulizi la Iran

Viongozi wa kundi la G7 walaani Kwa nguvu kubwa shambulizi dhidi ya Israel

Israel yatumia Dola billion moja na nusu $1.5 gharama za kutungua makombora ya Iran

Baraza la mawaziri Israel kukutana kwa dharula saa 9:30 leo kuamua hatua za kuchukua dhidi ya Iran

Binti miaka 7 ajeruhiws vibaya na kipande cha kombora lililotunguliwa na yupo ICU baada ya upasuaji mkubwa kwenye hospital ya Soroka Medical Center

Rais Joe Biden kuongoza Mkutano wa G7 leo kww njia ya video conference

Benjamin Netanyau asema -

"We intercepted, we repelled, together we shall win"​


Iran yasema itaishambulia marekani ikitokea Israel imejibu shambulizi lao

UN yaitisha kikao cha dharula cha Baraza la Usalama
Iran yaanza kufunga viwanja vya ndege

Asilimia 99 ya makombora drones & ballistic missiles yaliyorushwa na Iran kuelekea Israel yatunguliwa yakiwa angani

Anga la Israel yafunguliwa masaa 7 baada ya kufungwa

Biden amaliza kikao na kutoa ujumbe huo: " I just met with my national security team for an update on Iran’s attacks against Israel. Our commitment to Israel’s security against threats from Iran and its proxies is ironclad."

IDF kuanza kujibu shambulizi la Iran muda wowote kuanzia sasa

Marakani yaingia rasmi kwenye vita

Makombora drones zaidi ya 100 za Iran zalipuliwa zikiwa angani kabla ya kuingia anga la Israel

Jeshi la Syria lajiweka katika hali ya juu ya tahadhari

Israel yaishambuliwa kila kona
WaHouthi waishambulia kwa drones kutokea Yemen

Magaidi wa Hezbollah waishambulia kutokea Lebanon


Iran yasema itaishambulia nchi yeyote itakayoruhusu anga lake kutumiwa na Israel

Rais Biden aitisha kikao cha dharula muda huu na washauri wake wa Usalama

Makombora yaliyorushwa kuelekea Israel yafikia 500

Rais Joe Biden asema watailinda na kuiunga mkono Israel

“We are devoted to the defense of Israel,” he said from the White House. “We will support Israel. We will help defend Israel and Iran will not succeed.”

Waziri Mkuu Benjamin Netanyau aongoza Kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri kwenye kambi ya kijeshi ya Kirya iliyopo Tel Aviv

Uingereza yalaani shambulizi la Iran

Lebanon yafunga anga lake usiku huu

Anga ya Israel kufungwa kuanzia saa 6:30 usiku kwa saa za Afrika mashariki

Israel yasema jumla ya mashambulizi ya drones 100 yamerushwa na Iran kuelekea Israel

Iran yafanya shambulizi cyberattack kwenye mfumo ulinzi wa IDF

Iran yathibitisha kuishambulia Israel

Jeshi la Israel ( IDF) limeanza kutungua drones zilizoingia kwenye anga ya Jordan na Syria

Msemaji wa IDF Jenerali Daniel Hagari amethibitisha nchi yake kushambuliwa na iran

Itachukua takribani masaa 9 makombora hayo ( drones) kuifikia Israel

Tayari makombora drones hayo yameshaingia kwenye anga ya Iraq

Mfumo wa GPS "wavurugwa" kuiwezesha Israel kuyanasa au kuyatungua makombora hayo

Ving'ora vya tahadhari vitapigwa mara TU makombora hayo yatakapoingia anga la Israel


Wadau hamjamboni nyote?

Hatimaye Serikali ya Iran imeamua kulipiza kisasi Kwa Israel kwa kuanza kurusha makombora ambayo yapo njiani na yanayorajiwa kuchukua masaa kadhaa kabla ya kutua nchini humo

Taarifa kamili hapo chini


Illustrative: Iranians attend the funeral procession for seven Islamic Revolutionary Guard Corps members killed in a strike in Syria, which Iran blamed on Israel, in Tehran on April 5, 2024. (Atta Kenare/AFP)

LATEST UPDATES:

Tuesday 16, 2024 00:48

Israel Air Force Readying​

Israel’s Channel 12 has reported that the Israeli Air Force is completing preparations for its response to Iran’s attack. Unconfirmed reports suggest that Iranian Air Defense Forces have been placed on high alert

Monday 19:00​

  • UK PM Sunak to speak with Israel's Netanyahu, seeking to avoid escalation​

    British Prime Minister Rishi Sunak said on Monday he would soon speak with his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on how to prevent escalation in the region after Iran's drone and missile attack.
    "I will also shortly be speaking to Prime Minister Netanyahu to express our solidarity with Israel in the face of this attack, and to discuss how we can prevent further escalation," Sunak said in a statement to parliament.
    "All sides must show restraint," he added.
    placeholder-16x9.svg
    4bf6a59af9c8146b2e5989c5ce2d02900626f00f-5500x3665.jpg
  • 1 hour ago.April 15, 2024 at 14:53

    Israel To Pentagon: No Choice But To Retaliate​

    Israeli Minister of Defense Yoav Gallant told Defense Secretary Lloyd Austin Sunday that Israel has no choice but to respond to the missile and drone attack, a US official and another source briefed on the call told Axios.

G7 leaders condemn "in the strongest terms" Iran's attack against Israel - " We express our full solidarity and support to Israel and its people and reaffirm our commitment towards its security," reads the statement. "With its actions, Iran has further stepped toward the destabilization of the region and risks provoking an uncontrollable regional escalation. This must be avoided,"

Nevatim, Mount Hermon Bases Main Targets Of Iran's Attack
An article carried by state-run Iranian Students News Agency, ISNA, says Tehran’s attack last night targeted the Nevatim air base and a military facility on Mount Hermon.

According to the unsigned column, which seemingly reflects the regime’s party line on the attack, Nevatim was targeted because, Tehran alleges, a deadly assault on the country’s consulate in Damascus earlier this month was launched from there.

It says a military intelligence site on Mount Hermon was also a target, and that the attack was also meant as a response to years of Israeli attacks on Iranian positions in Syria.
  • Israel's Defense Against Attack Incurs Over $1.3 Billion in Costs​

    Israel's successful defense against last night's missile and drone attack reportedly came at a high cost, exceeding$1.3 billion. This sum encompasses expenses on jet fuel, missile interceptors, and other resources employed by the Israeli Air Defense Array.

Israeli War Cabinet To Convenes Urgent Meeting to Decide Response​

Prime Minister Netanyahu is set to lead an urgent session of the Israeli War Cabinet at 3:30 p.m. (1230 GMT) today to address and potentially finalize a response to what officials are calling an "Unprecedented Iranian Attack" launched overnight.
  1. Israel says it and its allies have intercepted the vast majority of more than 300 drones and missiles launched by Iran
  2. It says there were a small number of hits on its territory, including at an IDF base in southern Israel, while one child has been injured
  3. Meanwhile, Israel's minister of defence, Yoav Gallant, has said the confrontation with Iran was “not over yet
  4. Iran's unprecedented, retaliatory attack marks the first time it has targeted Israel directly from its own soil
  5. Tehran's attack is a retaliation for an Israeli strike that killed an Iranian military commander in Damascus earlier this month
  6. Sirens sounded across Israel and loud explosions were heard over Jerusalem, with air defence systems shooting down objects over the city
  7. President Biden tells Israel that American support for its ally is "ironclad", adding that the US helped "take down nearly all of the incoming drones and missiles"

Summary​

  1. Iran has launched dozens of drones and missiles at Israel in a retaliatory attack
  2. Israel has said the attack could take some hours to arrive, while Prime Minister Benjamin Netanyahu said the country is "ready for any scenario"
  3. Iran had warned that Israel would be "punished" for a strike on its consulate in Syria on 1 April
  4. Seven Revolutionary Guards, including two generals, and six Syrians were killed in the Damascus attack
  5. Israel has acknowledged carrying out hundreds of strikes in recent years on targets in Syria that it says are linked to Iran but has not claimed the Damascus strike
  6. President Biden has promised what he called "ironclad" support for Israel, saying the US will "do all we can to protect Israel's security"
  7. Iran had avoided direct confrontation with Israel during the Israel-Hamas conflict, but the Damascus attack was seen as a serious escalation
Mungu ibariki Israel


 

Attachments

  • 20240414_025320.jpg
    20240414_025320.jpg
    753.9 KB · Views: 6
Iran hawezi kurusha jiwe. Kipute kitapigwa balaa. Israel ni mboni ya jicho la US, sio Ukraine yule.
Tulia dogo kamikaze drones zaid ya 100 zipo hewani saahizi zinaelekea Tel aviv subiri majibu. Hizo hazitunguliwi na kima yeyote .saahizi ndege ya Netanyahu imeondoka Jerusalem
 

Attachments

  • Screenshot_20240413_231102_X.jpg
    Screenshot_20240413_231102_X.jpg
    493.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom