Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,613
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo akaendelea kuchambua kuwa silaha zilizotumika zinazodaiwa kuwa ni droni (tatu) kiuhalisia ni kama matoi/midoli ya droni wanayochezea "watoto wetu wa kiajemi".
Zaidi ya hapo matoi hayo ya droni yalirushwa kutokea ndani ya nchi ya Iran na yalikaa angani kwa muda mfupi tu kabla ya kudunguliwa.
Wanajamvi, sote tulishuhudia lile shambulio la "kibabe" na la kihistoria la kutumia "bundle" la mseto wa droni na makombora aina mbalimbali zaidi ya 300 (droni pisi 170, makombora ya cruise zaidi ya pisi 30, na makombora ya balistiki zaidi ya pisi 120) tulikuwa twapata ripoti kuwa vyombo vipo angani Iran vyaelekea Israel...vipo kwenye anga la Iraq..vipo kwenye anga la Jordan...vimeingia Israel. Ilichukua masaa kadhaa toka Iran hadi Israel huku tukipata updates.
Sasa kama njia ndio hiyo hiyo ya kupitishia drones/makombora (kama hujapewa ardhi au anga na nchi jirani), sasa vipi hatuona wala kusikia habari hizo kwa shambulio lililofanywa na Israel?
Hata hivyo wachambuzi wa mambo ya kivita wanasema kuwa shambulio hilo la Israel lilitengenezwa kwa namna ya kuepuka kukuza mzozo (Israel kafanya shambulio dhaidu) na malengo yamefikiwa (Iran haijakasirika na haijaamua kutuma kifurushi cha jaza-ujazwe kwa Israel)
=====
Reuters
April 20, 20242:28 PM GMT+3Updated an hour ago
Iranian Foreign Minister Hossein Amirabdollahian told NBC News the drones took off from inside Iran and flew for a few hundred meters before being downed.
"They're ... more like toys that our children play with, not drones," Amirabdollahian said.
"It has not been proved to us that there is a connection between these and Israel," he said, adding that Iran was investigating the matter but that media reports were not accurate, according to Tehran's information.
Iranian media and officials described a small number of explosions, which they said resulted from air defenses hitting three drones over Isfahan in central Iran in the early hours of Friday. They referred to the incident as an attack by "infiltrators", rather than by Israel, obviating the need for retaliation.

Iran's foreign minister downplays drone attack, says Tehran investigating
By Jasper Ward and Nidal Al-MughrabiApril 20, 20242:28 PM GMT+3Updated an hour ago
- Summary
- LATEST DEVELOPMENTS
- Iran foreign minister says Tehran investigating Friday attack
- Iran foreign minister says drones used were 'more like toys'
- Israeli planes and tanks pound several areas across Gaza Strip, Gaza officials say