Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Haitakuwa vita kubwa sana hao wote n wababe wanaheshimiana labda machawa wao waingilie
Nadhani hii itakuwa vita kubwa kwa kuwa kila mmoja anataka heshima kwenye ukanda huo na kila mmoja anamuona mwenzie kuwa ni threat kwake.......pia maslahi ya mabwana wakubwa( China , Russia , USA) yataguswa moja kwa moja........

Kumbuka hilo eneo lipo kimkakati kwenye uchumi wa dunia
 
Back
Top Bottom