Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama tungekuwa tuna host wenyewe na sio EA , am sure Mwanza ingechaguliwa
1.Dar ni lazima iwe picked. Commercial capital , More training stadiums( Karume, Boko, Azam Complex)
2. Zanzibar Lazima iwe picked- Hotels, Plus ni United republic , plus more touristic city
3.Arusha vs Mwanza , I think ni Arusha ina hotels plus, International airport, ipo karibu na Moshi , Ngorongoro etc, Mwanza is more of business than touristic city , so Arusha ikashinda
4. Kwenye Dodoma vs Mwanza , nafikiri Issue ni Capital city, inagwa sidhani kama imezidi mwanza kwa hotels, lakini SGR kufika Dodoma pia itaipa nafasi
Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa
 
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Si huwa mnasema Tanzania hamna ubaguzi. Nini hii tena.😂😂
 
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Mkapewa bus terminal mbili pia sie wengine mbona hatukujitenga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom