Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi mbona unapenda viongozi wanawake sana?
Ni waaminifu na genuine na Huwa hawatumii mabavu Bali akili.On top of that ni resilient mfano mzuri ni Samia.

Wanaume ni matapeli,wezi,mafisadi,makatili nk..

Dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi kama sio malezi ya hovyo wanayolishwa wanaume tangu Wakiwa wadogo kuvimba kujitutumua na matokeo yake ni majanga ya vita kila mahala hapa Duniani.

Bila Samia Hali ingekuwa mbaya mara 2 ya Ile ya awali.

View: https://www.instagram.com/p/C6gpi-KIp0w/?igsh=MXJmYnk4Z2tidXR6cg==
 
Simu haina charge atarudi humu stima ikirudi 🤣🤣🤣
mm.png

Hii itamfaa sana.
 
Ni waaminifu na genuine na Huwa hawatumii mabavu Bali akili.On top of that ni resilient mfano mzuri ni Samia.

Wanaume ni matapeli,wezi,mafisadi,makatili nk..

Dunia ingekuwa mahala salama sana pa kuishi kama sio malezi ya hovyo wanayolishwa wanaume tangu Wakiwa wadogo kuvimba kujitutumua na matokeo yake ni majanga ya vita kila mahala hapa Duniani.

Bila Samia Hali ingekuwa mbaya mara 2 ya Ile ya awali.

View: https://www.instagram.com/p/C6gpi-KIp0w/?igsh=MXJmYnk4Z2tidXR6cg==

Mbona nchi kama Singapore, Korea, Qatar, Malaysia n.k zimetolewa kwa umaskini na viongozi wa kiume? Mbona sijaona kiongozi mwanamke akiitoa nchi kwenye umaskini?
 
Unajua historia za Nchi hizo au unajiongelesha tuu?

Pili kati ya Viongozi 100 wa kiume unaweza Kuta ni 2 tuu ndio waungwana wengine wote ni washenzi.

Viongozi wengi wangekuwa Wanawake,Dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom