Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariakoo
20240503_125259.jpg
20240503_125247.jpg
20240503_125236.jpg
 
Hoja hapa sio kuwa mojor General naona hamuelewi.Hoja ni kuwa kamanda wa vikosi vya anga,Ardhi au navy kama huyo Mkunya.

Samia anataka afute hii dhana ya kuonesha kwamba vyeo Fulani ni vya wanaume kama ilivyotokea kwake binafsi watu wakiuliza how comes amiri Jeshi Mkuu awe Mwanamke?

Pili kuna kasumba ya CDF au IGP kuwa Mwanamke,ndio maana Samia amesema msije shangaa ikitokea one day even before 2030.

Kwa hiyo Wakunya hapa nawapongeza Kwa kumchagua Mwanamke kuwa kamanda wa vikosi vya anga.
Mbona hushangai waziri wa ulinzi ni mwanamke Tanzania 😅😅😅😅 Yani ww kuna vitu kichwani sawa kichwani mwako

Hii dunia hata ingeumbwa tena usawa wa mwanamke na mwanaume usingekuwepo mpaka kiyama, unajua kwann?? Kwasababu alietuumba hajaweka huo usawa 🤣🤣🤣
 
Naongelea watu kwa hii thread maanake mimi, siongelei huko kwengine.

Kenya media zetu huwa proactive. Wao hureport even more than they need to. Ndio maana despite the fact that mafuriko yameuwa watu wengi huko kwenu kuliko huku, the general feeling ni kwamba huku ndio kuna mafuriko. Alafu sidhani kama huko kwenu yameisha, labda Dar hayapo ila the whole of Tanzania lazima yapo ni vile media zenu ni ovyo.
Angalia usije jinyonga mana upo katika hali mbaya sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi sijapata news zozote kwa media za bongo halafu kuna wenzako humu wanakana hamna mafuriko Bongo meaning media zenu hazireport kiukamilifu. Yani hapa Kenya jambo kama hili linakuwa ni National Issue, ukiwasha TV hivi hilo ndio jambo litakuwa likiongelewa hadi kila mtu anajua kinachoendelea, meanwhile hapo bongo wataguzia tu juu juu alafu warudi kwa Mondi na Zuchu ama Yanga na Simba.
Sasa sisi nchi yetu hatuna majanga mzee, kama yapo ni kdg sn lkn hayafiki national level kama nyinyi huko kwenu, kwanini tusi enjoy? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom