Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Si huwa mnasema Tanzania hamna ubaguzi. Nini hii tena.😂😂
 
Mnataka kututenga sana kama vile sisi sio Watanzania,siku Lissu akifanikiwa kuitenga Tanganyika na Zanzibar,Lake zone tutaanza kupambana tupate nchi yetu rasmi.......hatuwezi kuendeshwa kubali mambo ya kipumbavu kama haya
Mkapewa bus terminal mbili pia sie wengine mbona hatukujitenga!
 
Hakuna Mkenya anayebisha kuhusu mafuriko. Wanaobisha ni Denial republic. Ndio maana mnashare mafuriko ya Kenya humu wakati kwenu yapo. Nakumbuka mlikua na vifo 115 wakati Kenya haijafika hata 50, sasa saa hii Wakenya vimefika 188 unadhani huko kwenu ni ngapi? Naona more than 400.
Naona kama Rais wenu Tanzania haikosi midomoni mwenu! BTW mbona mlitaja death rate ndogo?
 
Hakuna Mkenya anayebisha kuhusu mafuriko. Wanaobisha ni Denial republic. Ndio maana mnashare mafuriko ya Kenya humu wakati kwenu yapo. Nakumbuka mlikua na vifo 115 wakati Kenya haijafika hata 50, sasa saa hii Wakenya vimefika 188 unadhani huko kwenu ni ngapi? Naona more than 400.
Mambo ya Mafuriko kwetu kwa sasa hakuna tuna msubiri Hidaya. Japo kuwa Hidaya ataelekea maeneo ya Lamu na Mombassa. Kaeni mkao sawa sawa. Kundustan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom