Watu Wote: All of Us, or simply Watu Wote is a 2017 Kenyan-German, live-action short film directed by Katja Benrath, as her graduation project at Hamburg Media School. The film is based on a December 2015 bus attack by Al-Shabaab in Mandera, Kenya. The film received critical acclaim, winning a Student Academy Award for Narrative, and received an Academy Award nomination for Academy Award for Best Live Action Short Film at the 90th Academy Awards. Production faced difficulties when the crew's camera was stolen before filming had begun.
Zaidi ya Watu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini katika Mji wa Natiaboani siku ambayo pia iliripotiwa Watu 15 kuuawa kwa kushambuliwa wakiwa Kanisani (Mji wa Essakane) ikiwa ni mwendelezo wa machafuko yanayotokea Burkina Faso.
Inadaiwa waliofanya shambulizi ni sehemu ya Makundi ya...
Msemaji wa Jeshi Polisi Nchini Uganda Vincent Twesige amesema wanamgambo wanaohusishwa na kundi lenye itikadi kali (Islamic State) wamewachoma moto watu 10 hadi kufa katika shambulizi lililofanywa kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao kutoka kundi la ADF ni miongoni mwa...
Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso.
Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia.
Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo...
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu.
Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon Musk ameondolewa namba moja kutokana na hasara aliyoipata mwaka 2022.
Jukwaa hilo la kufuatilia utajiri linatoa masahihisho yanayoendelea...
Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California.
Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye gari ikielezwa alijipiga risasi baada ya kuzingirwa na wanausalama.
Bado haijawekwa wazi sababu za...
Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini.
Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
UPDATES:
Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree Nation.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, washukiwa hao wawili ni ndugu na tahadhari imetolewa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.