washabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa...
  2. William Mshumbusi

    Kama Benchika ni kocha mzuri kampeni za nini? Acheni timu ijieleze na hana ubora wa kumpiga benchi Chama. Washabiki tumechoka kuvumilia

    Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu. Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi. Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
  3. N

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini? Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
  4. THE FIRST BORN

    Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

    Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo. Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
  5. covid 19

    Baada ya makundi kupangwa CAF, washabiki wa Simba na Yanga wanaombeana mabaya. Hii ni aibu!

    Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu kubwa mbili za mpira wa miguu nchini, Simba na Yanga. Katika hali ya mpira wa ushindani kuelekea...
  6. Nyani Ngabu

    Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Kichwa cha mada kinajielezea. Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity]. Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa. Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku. Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge. Rais Samia katoa mabilioni huku na kule. Watu ambao mtu...
  7. Happycuit

    Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

    Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili. Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila...
  8. B

    Kushabikia Polisi kuua watuhumiwa, ni ujinga uliopitiliza

    Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road. Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
  9. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki. Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
  10. changaule

    Nawauliza Washabiki wa Simba, je mmeona ugumu wa kutumbukiza mpira wavuni?

    Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo. Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha kutumbukiza mpira wavuni lakini wapi mpaka refa akawapa penati lakini boko akawabokoa kwa kukosa...
  11. C

    Kwa mujibu wa bodi ya ligi leo washabiki waliojaa uwanjani ni wa KMC

    Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani Sasa bodi ya ligi mwishoni mwa msimu kwenye takwimu zao ni kwamba hawa ni mashabiki wa KMC, mkae mkijua hilo.
  12. Mwanamaji

    Takwimu zinazungumzia watazamaji (Spectators) "akina sisi" tunazungumzia washabiki (fans), kuna shida mahala

    Takwimu zilizotolewa na bodi ya ligi hapo jana zilihusu idadi ya watazamaji (Spectators) waliohudhuria katika mechi za nyumbani za vilabu vya ligi kuu kwa msimu ulioisha. Takwimu hizo zimetokana na idadi ya tiketi zilizouzwa katika mechi hizo na timu ya Yanga imeongoza kupata pato kubwa...
  13. Tango73

    Usajili wa Yanga kila mwaka hauridhishi kiu ya washabiki, kulikoni?

    Bila kuficha usajili wa yanga una kasoro kubwa sana kila mwaka. Hivi ni kwa nini yanga hupenda kusajili asilimia kubwa mitumba mikubwa kutoka nje ya nchi na kudharau wachezaji wenyeji? Hii dhana ya kufikiria eti ukijaza wageni wengi ndani ya timu kuna manufaa kuliko kusajili wachezaji wetu wa...
Back
Top Bottom