Kuna rafiki yangu mmoja ambaye si Mtanzania anaishi Marekani, Boston state!
Huyu jamaa kiasili ni Msweden ambaye anaishi huko Kwa Joe Biden, mimi na yeye urafiki wetu ulianza miaka mingi kidogo baada ya kukutana mkoani Arusha kwenye ishu moja hivi, kuanzia hapo tukawa kama ndugu!.
Sikutaka...
Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka, amesema kuwa watangazaji wote wanaosoma Habari kwa Mbwembwe na kuongeza chumvi kwenye habari wanazosoma watachukuliwa hatua.
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana.
Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo.
Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
Kama wewe ni mzazi au mlezi una binti yako! yuko au anategemea kusoma taasisi za elimu ya juu kwa udhamini wa bodi ya mikopo kaa chonjo! Mabinti ni jinsia ya kike! Ni wanawake hata kama hawajazaa au kuolewa! Ni dhaifu wamejaa tamaa!
Sasa wewe mzazi unajiridhisha eti kwasababu kapata mkopo...
Ninapokutana na Ahmed, amefungwa pingu kwenye chumba peke yake. Kuna alama kwenye mwili wake kutokana na vipigo alivyopewa. Hajui ana umri gani, lakini labda ana miaka 10.
Shule ninayompata ni mojawapo ya taasisi 23 za elimu ya Kiislamu nchini Sudan, zinazojulikana kama khalwas, ambazo...
Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu.
Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita
Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka.
Ninachoona ni...
Matukio yanayonihuzunisha
1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.Yaani shule wanaingia saa 4
Kuhusu taaluma
1.Kufaulu 1 kati ya 120
2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2
3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari
4.Akienda...
Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?!
Basi, tambua:
1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini!
2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
Natumai muwazima wa afya wana JF.
Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?
Hello members,
Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance.
Karibuni tujadili mawili matatu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.