palestine

  1. ward41

    Hali ya Palestine itakuwa mbaya zaidi Trump akishinda uchaguzi Marekani

    Raisi Biden Ana msimamo wa wastani kuhusu suala la Palestine. Trump ni tofauti kabisa. Yeye ni pro Israel na Netanyahu kindakindaki. Kwa hivyo akishinda uchaguzi, Hali ya Palestine itakuwa mbaya zaidi. Trump anaunga mkono Vita dhidi ya Hamas Tuombe Amani
  2. BARD AI

    Statement of ICC Prosecutor Karim A.A. Khan KC: Applications for arrest warrants in the situation in the State of Palestine

    On the basis of evidence collected and examined by my Office, I have reasonable grounds to believe that Yahya SINWAR (Head of the Islamic Resistance Movement (“Hamas”) in the Gaza Strip), Mohammed Diab Ibrahim AL-MASRI, more commonly known as DEIF (Commander-in-Chief of the military wing of...
  3. K

    Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  4. G

    Vita vya Palestine na Israel ni vita ya kugombania Ardhi na mipaka yao kwa miaka maelfu Kabla ya ukristo na uislam, ni ujinga kudhani nivita ya kidini

    Wakuu kwa kifupi Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili Na historia inaonyesha Kuna kipindi Israel inapigwa na kutaliwa na Palestine haswa pale wanapomwasi Mungu wao Na pia Kuna...
  5. N

    Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  6. green rajab

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car. Four...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jeriko Palestine mji mkongwe zaidi duniani

    1. JERICHO -PALESTINE Baadhi ya wataalamu hudai kuwa huu ndio mji mkongwe zaid duniani...mji huu ulikuwepo zaidi ya miaka 6800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Wataalamu wanasema kuwa hapo awali watu waliishi kwa kuhamahama kwahyo mji wa Jericho ndio ulikuwa wa kwanza duniani kwa watu...
  8. B

    Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

    1. Kwa hakika hayapo mafanikio bila jasho na ikibidi bila damu: 2. Wapalestina na HAMAS wamemaanisha kwa heri na shari, kwa maneno na vitendo. 3. Leo dunia inatambua hata kwa kuwaangalia usoni tu, wana maanisha: "wanaitaka nchi yao sasa." 4. Tokea 1947, Spain hatimaye somo limeeleweka...
  9. green rajab

    Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

    Baada ya shambulio la kigaidi liilofanywa huko Moscow na Magaidi wa Ukraine, Israel na Marekani, Sasa Rasmi Urusi inaunga Palestine na kuanza kutoa msaada wa kila aina.... ngoja tuone kifuatacho. 🇷🇺🇵🇸 President Putin says that Russia will take "new steps" to support Palestine.
  10. Mto Songwe

    Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

    Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi. Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina...
  11. ward41

    Faida ya mgogoro wa Israel na Palestine kwa Misri

    Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA. Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana. Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri...
  12. MK254

    Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

    Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu kinachotamba. Waarabu weusi wa Bongo akina brazaj kutwa wanalia lia kuhusu Waarabu wa Palestina...
  13. M

    Hii hapa clip prince wa saudi anasema vita kati ya Israel na Hamas haibadilishi mpango wake wa kuanzisha mausiano na Israel

    Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
  14. ward41

    Kwanini mgogoro wa palestine na israel unavuta hisia za watu wengi duniani

    Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani. Mfano: 1) India na Pakistan 2) China na India 3) China na Philippines 4) Nigeria na Cameroon 5) Tanzania na Malawi Migogoro...
  15. Mhaya

    Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

    DJ Khaled ni Mpalestina na kwenye hivi vita hajaongea chochote kile, ni kama watu wanataka kumsikia akisema lolote wampoteze. Bro! Muziki wa Marekani unashikiliwa na Wayahudi. Yaani wao ndiyo wanapanga kila kitu. Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Waarabu wakiingia vitani wanakwenda kuomba...
  16. Msitari wa pambizo

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  17. Mhaya

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  18. Mto Songwe

    Azov Brigade, Magharibi wanakuendesha vile wanavyotaka wao kuwa makini

    Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine. Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake. Dunia hii...
Back
Top Bottom