ombaomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SUBMAC

    Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Wanawake mnakubali vipi kuitwa ombaomba, kausha damu uwo ni unyonge kataa unyonge

    Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu. Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
  4. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  5. Amani ya Mungu

    Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
  7. matunduizi

    Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

    Wasalaam, Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia. Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
  8. ChoiceVariable

    Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

    If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame My Take Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
  9. Mjanja M1

    RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

    Akifanya mahojiano na East Africa Radio Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Albert Chalamila amesema; "Kuna watu wana zagaa zagaa kwenye Tanzanite bridge, kamateni watu wote wanaokaa kwenye maeneo na walemavu kuombaomba, tumegundua ule ni mtaji wa watu ambao jioni wanakusanya mapato wanawapa kidogo...
  10. matunduizi

    Neno la Asubuhi: Kwanini Hata kama hutaki kuwa tajiri ujitahidi usiwe ombaomba?

    Mtu anayemuamini Mungu kuwa ombaomba ni kumdhalilisha Mungu. Wakristo wengi kupinga utajiri kama aliokuwa nao Baba yao wa imani Ibrahim kumewafanya kuwa ombaomba. Wao na wachungaji wao. Ushauri wa leo, ikiwa hutaki kupambana kuwa huru kifedha na upate fedha nyingi za kubaki kugusa maisha ya...
  11. Pfizer

    Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya tele na tunatambua pia una majukumu mengi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu. Mheshimiwa Rais, hii ni...
  12. Mcqueenen

    Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

    Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine. Na Wala hawapo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Serikali kutoa Elimu na kuwapa ujuzi watu wenye Ulemavu wanaoonekana wakiombaomba na wanaotumiwa kama chombo katika kuomba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
  14. Z

    Mbinu mpya ya ombaomba

    Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato. Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao. Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela...
  15. Boss la DP World

    Asilimia 50% ya Watanzania ni Ombaomba

    Kwamujibu wa taarifa za sensa ya mwaka 2022, asilimia 51 ya Watanzania ni Wanawake na 49% ni wanaume. Iko hivi utafiti wangu niliofanya Kwa kutumia sampuli 100, ulibaini kuwa kati ya wanawake 100 nilio watongoza, wanawake 98 waliniomba pesa siku 10 za kwanza. Kwahiyo kwa wastani wanawake 98...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  17. M

    Ijumaa inahusiana vipi na ombaomba?

    Mbona ombaomba wengi nimekuwa nikiwaona siku za Ijumaa wakipita wakiomba, sijawahi kuwaona Jumamosi au Jumapili. Na vilevile nimekuwa nikiwaona unapoanza mwenzi Mtukufu wa kufunga wa Waisilamu na Idd lakini siyo kipindi cha mfungo wa pasaka au kalibu na X-Mas! Tuchangie kwa upendo.
  18. JanguKamaJangu

    Vijana UVCCM watakiwa kuacha kuwa ombaomba

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe miradi ya kujiingizia kipato ili waache kulaumu watu wanaoshindwa kuwapa wanachohitaji. Kunzenza...
  19. Jaji Mfawidhi

    DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  20. joto la jiwe

    Tanzania yajibu kuhusu ombaomba wanaopelekwa Kenya

    MY TAKE: Ni matumaini yangu kwamba Kenya itatekeleza wajibu wake Kama nchi ya kuwatafuta na kuwakamata wale wote wenye kujihusisha na biashara haramu ya kusafirisha binadamu. Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom