nimefanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  2. Chizi Maarifa

    Nimefanikiwa kupata mkopo wa Milioni 470 nimetenga kiasi hiki kwa ajili ya kujipongeza na watoto wakali

    Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji. Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi...
  3. fundi bishoo

    Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  4. mwaibile

    Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

    I hope wote tuko good kwa nguvu ya God Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi...
  5. Chawa wa lumumbashi

    Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    Ama hakika pesa ni sabuni ya roho ukiwa na pesa unaweza kuhamisha mlima kilimanjaro kutoka kilimanjaro na kuupeleka mtwara sio kitu kabisa kabisa Nimefanikiwa kununua gari ya ndoto yangu Ford ranger kutoka moja kwa moja state nimeagiza moja kwa moja na pia nimefanikiwa kununua simu kali ya...
  6. Shujaa Nduna

    Hatimaye nimefanikiwa kupata Mbolea

    Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha. Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote. Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate...
  7. Ryder2

    Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

    Karibuni niwe wakala wenu, Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa. Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka. Ahsanteni
  9. Amina68

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Habari wana jukwaa wote! Kwa majina naitwa Amina kama nilivyojisajili kwa forum hii. Mimi ni mtanzania ambae nimetokea katika familia maskini sana kule SIMIYU kijiji cha itilima. Nilizaliwa mnamo mwezi januari mwaka 1997 katika mazingira ambayo sio salama na mama yangu ajulikanae kwa jina la...
  10. Pascal Mayalla

    Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
  11. ESCORT 1

    Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

    Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
  12. P

    Kero: Wasafirishaji wa mizigo kupakilia mizigo kwenye makazi ya watu Kariakoo

    Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa, Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
  13. Kigger

    Nimefanikiwa kufungua online radio

    Habari wanaJF, naamini ni wazima Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk Maana pesa...
  14. MSAGA SUMU

    Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

    Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada. Ni wakati sahihi wa...
  15. Edward Mangapi

    SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  16. MSAGA SUMU

    Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
  17. GIRITA

    Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

    Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13...
  18. Sheffer95

    Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

    Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Iko hivi hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya sana na kukosa ile nuru na uchangamfu ambao alikuwa nao sikuzote, pili pindi niwapo mbali amekuwa...
  19. Ramon Abbas

    Nimefanikiwa kupambana na kunguni na kuwapunguza kwa kiasi kikubwa sana

    Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika! Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi. Ghafla tena naitwa nyumbani kwamba wadudu wanasumbua, njoo utupe msaada, nikaenda kweli nikakuta wamejaa...
Back
Top Bottom