msaada.

  1. H

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan. Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
  2. S

    Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    Wakuu habari za mida! Nilinunua simu mkoa wa kigoma nikizani nmenunua samsung galaxy s10 plus... kumbe nmenunua docomo s10 plus sasa kinachonikera ni kuona ikiwaka inaonesha logo ya docomo bafala ya samsung inaonesha
  3. adriz

    Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    Moja kwa Moja.. Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
  4. U

    Nahitaji dawa ya maumivu ya kiuno na mgongo

    HabarI za Leo Ndugu zangu. Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo. Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA. Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo Nakosa Muda Mzuri wa Kuwasaka Wachumba. Nimemeza sana Dawa Za Kutuliza Maumivu Lakini Naona imeanza...
  5. Chizi Maarifa

    Safari hii sijapata Tende za Msaada. Nani kanifinya? Serikali iangalie suala hili

    Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
  6. Ncha Kali

    Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho. Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
  7. P

    Naomba mada nzuri ya Utafiti wa Kisayansi itakayotikisa Duniani

    Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
  8. R

    Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  9. Doto12

    Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Sehemu ya 1. sina budi kuendeleza hii stori. Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto...
  10. M

    WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  11. S

    AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Nawasalimu Nyote Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni...
  12. K

    Mwenye kujua kuhusu uhamisho wa muda, naoma msaada

    Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea. Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
  13. G

    Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada

    Wakuu kwema? Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada. Nawasilisha. Wako Mtiifu, Gwego.
  14. Orketeemi

    Msaada. Nifanyeje desktop icons zionekane

    Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
  15. Mhaya wa Arsenal

    Msaada: Napata mtihani kupata field

    MREJESHO: Nimefanikiwa kusaidiwa kupata field wakuu, mungu awabariki wote mliotoa mchango wenu wa kimawazo katikabuzi huu. 🙏 Wakuu habari za wakati huu, Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa...
  16. kocha Nabi

    Kama umekutana na shida ya kusaidia au kusaidiwa pita hapa

    Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa. Msukumo huo unaweza...
  17. Chizi Maarifa

    Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili. Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu nitataka achuchumae akoje nimwone huku nashika shika mkojo wake. Halafu nimnawishe. Au kama...
  18. matunduizi

    Wakuu mwenye link ninayoweza kudownload biblia ya kiswahili (suv) kwa ajili ya PC msaada.

    wakuu kama kichwa japo juu. Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version. Natanguliza shukrani.
  19. Explainer

    Msaada kuna vibali vya upigaji picha maeneo ya mijini?

    Habari wakuu. Kama kisomekavyo kichwa cha habari, binafsi nimeanzisha shughuli ya kutangaza utamaduni na maisha ya Tanzania nikitia ndani vivutio vyote, watu na kila kitu. Kwa sasa nimekumbana na changamoto nyingi ikiwemo kuzuiwa kupata picha za mnato kwenye baadhi ya maeneo ambapo kwa macho...
  20. Mpigamimba

    MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Wakuu Msaada. Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo. Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
Back
Top Bottom