manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

    Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi? Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
  2. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  3. Informer

    Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

    TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai. Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6. Hizi ni baadhi ya Kesi...
  4. Analogia Malenga

    Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli. Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21...
  5. N

    Karasha ya Wachina wafunga milango Singida

    Karasha ya kokoto ya Wachina hapa Singida hatimaye wamefunga kazi zao Ijumaa iliyopita wakidai kushindwa kutokana na kodi kubwa pamoja na tozo mbali mbali. Raia hao wa Kichina, waliajiri Watanzania 47 ambao wanarudi mtaani. Tukumbuke karasha ilikuwa inatoa ajira nyingine kwa waendesha malori...
  6. Miss Zomboko

    Manyara: Mama aua watoto 3 kwa kuwalisha sumu kutokana na ugomvi wa kifamilia na mume wake

    Mama mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Regina Daniel (24) mkazi wa Louxmanda Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, anatuhumiwa kuwauwa watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodaiwa ni ya Panya . Tukio hilo la kusikitisha limetokea Desemba 5 mwaka huu ambapo...
  7. J

    DPP Biswalo Mganga awafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu. DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini. Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba...
  8. D

    Hongera Wana Manyara

    Nimekita kambi maeneo ya mwambao wa ziwa manyara kama sehemu ya ziara ya kuijua tabia asilia ya Masai, wambulu, Wamang'ati na wengineo! Huku napata kujua misingi na tabia ya asilia kutoka kwa mababu zao ni ipi! WAMBULU Mzee mmoja wa kimbulu ananidokeza kwamba, Kwao mwanamke ambaye Ujauzito...
  9. Cannabis

    Manyara: Bei ya Alizeti yapanda kutoka 30,000 mpaka 60,000 kwa debe

    Wamiliki wa viwanda vya kukamua na kusindika alizeti, mkoani Manyara, wanakabiliwa na uhaba wa malighafi kutokana na kupanda kwa bei ya zao hilo, kutoka shilingi elfu thelathini (30,000) hadi elfu sitini (60,000) kwa debe. Source:
  10. K

    Babati, Manyara: Watu wanaozidisha kiwango cha kelele usiku wanachukuliwa hatua gani?

    Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki...
Back
Top Bottom