lukuvi

  1. GoldDhahabu

    William Lukuvi na Profesa Kabudi bado wapo Ikulu?

    Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu. Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa mazito zaidi na ya heshima zaidi kuzidi ya uwaziri. Hii ni kwa sababu walikuwa wawe "viranja" wa...
  2. S

    Lukuvi ndiye aliitendea haki wizara ya ardhi

    Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi. Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi za Kanda. Haikupita muda akashusha mpk ofisi za mikoa. Kaingia Angelina Mabula akataka kuendeleza...
  3. T

    Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

    Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa. Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya...
  4. benzemah

    Rais Samia kuwateua Bulembo, Lukuvi ni maandalizi ya 2025?

    Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya kisiasa", hasa uchaguzi Mkuu wa 2025 Vigogo walioteuliwa juzi ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba...
  5. chiembe

    Waziri wa Ardhi Angelina Mabula ameshindwa kutoa mchanganuo wa posho za bilioni 47? Lukuvi alificha udhaifu wake au anamhujumu chinichini?

    Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi, anakwama wapi? Kama yatatokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, namtabiria kuhamishwa wizara, au...
  6. R

    OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa. Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99% Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi Lukuvi aliimudu sana.
  7. N

    Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

    Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
  8. sammosses

    Lukuvi, mbio za sakafuni huishia ukingoni; jitafakari

    Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita. Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama...
  9. M

    Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

    Wakuu habari za Jpili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mzee lukuvi alikuwa na maana gani kusema maneno yale huko Chamani Mambuzii?
  10. Crocodiletooth

    Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  11. Escrowseal1

    Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu ya nne na kujitwalia maeneo makubwa makubwa bila kujali wanyonge waganga njaa. Kwa awamu ya sita...
  12. Crocodiletooth

    Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

    Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali More deep detail to follow with specific...
  13. Dr Matola PhD

    Mnaoelewa majukumu mapya ya Lukuvi na Paramagamba Kabudi, tujulisheni ufanisi ukoje

    Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea. Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja? Ni hayo tu.😄😄
  14. Suzy Elias

    Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

    Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?! Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake. Hilo la Lukuvi na Kabudi...
  15. Suzy Elias

    William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

    Wakuu, hivi William Lukuvi anajishughulisha na nini hasa? Mimi nahisi huenda yupo yupo bila hata kile tuliambiwa atakifanya.
  16. GENTAMYCINE

    Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi. Chanzo: Habari Leo...
  17. Zanzibar-ASP

    Kama kweli Rais Samia alimaanisha hicho, basi huenda Lukuvi ni Waziri Mkuu anayengoja kuapishwa

    Kama Rais Samia kile alichokisema kuhusu Lukuvi (kuwa amemtoa kwenye uwaziri na sasa anamleta ikulu kuja kumsaidia kuwasimamia mawaziri, na atampa kazi maalum ambayo watanzania tusubiri kuja kutangaziwa) basi huenda ikawa ni nafasi ya uwaziri mkuu! Huenda kinachofanyika sasa ni kupima upepo wa...
  18. Zanzibar-ASP

    Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
  19. troiker

    Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi ,na hili limedhihirika kwa michango ya watanzania wote kupitia mabadiliko ya baraza la mawaziri...
  20. F

    Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

    Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana. Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya? Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Back
Top Bottom