kujitoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Simba wa kwenye logo kakimbia kachoka na mateso

    Hatari SIMBA WA KWENYE LOGOO KAKIMBIA KACHOKA NA MATESO.
  2. Doto12

    Mpira ni heshima, kujitoa moyo na subra. Bila haya mambo hutoboi

    Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka. Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
  3. Erythrocyte

    ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  4. B

    Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu

    CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo. Ni umeme, reli, SGR, ATCL, Demokrasia, utawala bora, ajira za kupeana, wizi, kukosekana haki au eneo...
  5. Raia Fulani

    Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  6. S

    Mamelod Sundown kujiondoa Afrocan Football League

    Zikiwa zimesalia wiki tatu kuanza kwa michuano ya Ligi ya Soka ya Afrika, Ushiriki wa Mamelodi Sundowns katika michuano hiyo upo shakani baada Bodi ya Ligi kuu Afrika Kusini (PSL) kuwataka Wabrazil hao wachague michuano hiyo au Ligi kutokana na Ushiriki wa Sundowns kutishia kuvuruga programu za...
  7. Mto Songwe

    Ombi kwa Serikali: Iruhusu huduma ya kujitoa uhai (euthanasia)

    Ombi langu kwa serikali ya JMT: Mimi kama mwananchi wa taifa hili la Tanzania nina ombi kwa serikali yangu ya JMT kuruhusu huduma maalumu ya kujitoa uhai (Euthanasia) kwa magonjwa maalumu tu. Hii huduma nilikuwa napendekeza iwe inapatikana kwa wagonjwa maalumu wenye magonjwa maalumu yasiyo na...
  8. gstar

    Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

    Baada ya hotuba ndefu nimenukuu haya machache kutoka kwa Prof Shivji juu ya nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba huu wa kinyonyaji wa DP- World. naandika kama anavyo sema:- "Kwa ujumla kwa kuhitimisha, mkataba huu sisi wanasheria tunauita honoracy provisions na tukikubaliana hivyo je kuna...
  9. E

    Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
  10. olimpio

    Tetesi: CHADEMA kujitoa kwenye maridhiano

    Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana. Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe kwenye swala la bandari ambao ni kinyume na Mwenyekiti wa CCM Mhe. Rais Samia. Can they pull out of this?
  11. M

    SoC03 Kudhibiti matukio ya watu kujitoa uhai nchini

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya kikatili lakini pia kumekuwa na matukio mengi ya watu kujitoa uhai, kitu ambacho kinaleta taharuki kubwa katika jamii na nchi kiujumla. Katika hili andiko nitaongelea zaidi upande wa kujitoa uhai na afya ya akili. Afya ya akili...
  12. M

    Kwanini watu wa simba wanapenda kujitoa ufahamu?

    Sio viongoz sio mashabiki wote wanajizima data yani kiukweli wanatia aibu na kuidharirisha taasisi kubwa kama ile, sasa oneni alichoondika afisa habari wenu. #Ahmed ally Hadi sasa hakuna elie weza kuvunja rekodi yake Katika ligi hii ya Tanzania Katika kufumania nyavu🦁 Swali: JE HAMJUI...
  13. BARD AI

    Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  14. Suley2019

    Hongera Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza Wafayabiashara. Kero zao zitatuliwe isiwe zuga tu ya kuwatuliza

    Habari, Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo. Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
  15. MK254

    Wagner watishia kujitoa kwenye mapambano, walalamika uhaba wa silaha na vifo vingi mno

    Walalamika kila siku wanapoteza wanajeshi elfu, haivumiliki tena maana Urusi haiwapi silaha ipasavyo, wametelekezwa.....wamechoka maana wazalendo wa Ukraine bado wanatembeza kichapo, yaani ndio kama wanapata mzuka mpya kila siku. ================= The head of Russia's mercenary Wagner Group...
  16. Elli

    Kulikoni Upendo FM kujitoa online?

    Shalom. Upendo FM wamepatwa na shida Gani Hadi wajitoe online? Nimekua msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya maombi; Morning and Evening Glory, kile cha SAA Tano/sita mchana hadi saa Saba, ibada za jumapili n.k. kwa muda mrefu sana. Nashangaa ni week ya pili sasa wamejitoa kabisa online...
  17. BARD AI

    Sauti Sol watishia kujitoa Shirikisho la Hakimiliki baada ya kulipwa Tsh. 242,977 za Mirabaha

    Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za sanaa Sauti Sol wamehoji "Kwa nini MCSK huwa wanafanya kana kwamba wanawafanyia hisani Wanamuziki wa...
  18. Mcanada

    Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  19. BARD AI

    Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  20. MALCOM LUMUMBA

    Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama! Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton. Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
Back
Top Bottom